Nampongeza sana Denis Mwasalanga wa magazeti, RFA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampongeza sana Denis Mwasalanga wa magazeti, RFA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ramos, Sep 25, 2012.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi ni msikilizaji na mpenzi mkubwa wa kipindi cha tuzungumze magazeti cha RFA saa 12.30 asubuhi. Kwa sasa kipindi hiki mara nyingi kinafanywa na mtangazaji anaitwa Denis Mwasalanga. Napenda kumpongeza sana huyu jamaa maana anakimudu, anajua kusoma, anajua stori muhimu hivyo anazisoma paragraph kadhaa, ana sauti inayosikika n.k. Kwa ufupi ni kwamba huyu jamaa nafanya kipindi chake kiwe ndio bora zaidi kati ya vipindi vyote vya kusoma magazeti katika redio na tv mbalimbali nilizowahi kusikiliza hapa Dar.

  Nampongeza sana na namuomba a-keep it up
   
 2. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Duh!! amekupa ganji uje umrushe hewani nini? Kiukweli huyu dogo kusoma magazeti anachemsha sana....mwambie atulie na asome kwa umakini ili aeleweke kwa wasikilizajo wake sio kuja kumpamba hapa wakati sio....:frusty::frusty:
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ntasema kesho baada ya kumsikiliza huwa nasikiliza magic fm, ngoja nihame kama ni kweli!
   
 4. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Nadhani we sio msikilizaji wa RFA mzee,mshkaji ni bonge la mtangazaji,na haihitaj kupewa ganji ili umpe mtu sifa zake,na sio lazima mtu uponde kila kitu,kosoa kwa logic lakini.
   
 5. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kuna mpuuzi mmoja anaitwa meshaki nzowa. Anapenda sifa sana kwa magamba.
   
 6. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mbona kama huwa anakigugumizi mi namkubali joyce mwakalinga bhana
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  denis yuko fit
   
 8. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jamaa anajitahidi sana,anastahili pongezi.Kimsingi watangazaji wote wa tuongee magazeti cha RFA ni bora,siyo kama kile cha CLOUDZ (kuperuzi na kudadisi) wanaolenga habari za udaku udaku na kuzipotezea habari za msingi.
   
 9. W

  WILSONDIOXIDE Member

  #9
  Nov 18, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo msela ni kwere, yuko makini kwani husoma magazeti yote bila kupendelea ya serikali,binafsi au ya taasisi za dini.KEEP IT UP BROO!
   
Loading...