Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu mahakama ya rufaa itangaze rasmi kuhalalisha maamuzi ya mahakama kuu ya kutengua matokeo ya ubunge wa Sumbawanga mjini wa Hillary Aeshi(CCM).
Lakini mpaka sasa tume ya uchaguzi haijatangaza ni lini uchaguzi huo utarudiwa wala maelezo yoyote kwa umma.
Tatizo ni nini?
Na kwanini haya yanatokea sasa?
*Wakazi wa Sumbawanga mjini wanalalamika na kunung'unika kwa kukosa mwakilishi katika bunge kwa zaidi ya miezi sita sasa.