Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kunradhi wana JF, Kuna ambaye anaufahamu wowote kuhusu zoezi la vitambulisho vya taifa kwa sasa mimi sioni dalili huku nilpo japo ni jiji-R-chuga.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SAKATA la watu wanaodaiwa ni wanandoa wasaliti kugandana, Temeke, Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwa, Mchungaji John Mzule wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies of God...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Wanajamvi Habarini za muda, Kama sikosei, miaka kama miwili iliyopita SUMATRA walisisitiza kuwa magari ya kubeba wanfunzi ni lazima yawe na rangi ya Njano (Yellow Bus) ikiwa ni mojawapo ya vigezo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kisa hiki kimenikatisha tamaa na huduma za pale muhimbili kisa hiki cha mama mmoja amekufa kwa kansa ya jino. Ilikuwa hivi mama huyu alikuwa na mauumivu ya jino na lilikuwa limetoboka alipoenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wabunge wetu wa Dar es Salaam, viongozi wa manispaa zetu, wafanya biashara, jeshi la polisi, wasafirishaji, wananchi wa jiji nini kinatushinda kufanya Kariakoo ifanye kazi kwa saa 24? Tuweze...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo kuna rafiki yangu aishie Arusha amenipigia simu na kunieleza usiku wa kuamkia leo amevamiwa na kundi la majambazi wapatao 15 na wamechukua vitu vingi nyumbani kwake ila cha kushukuru...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mali asili zetu zinatoweka kwa kasi sana. Weupe wanazihamisha kwa kutumia vibaraka wao waliopewa dhamana. Hivi sasa Tanzania hakuna mti unaoitwa Mninga wala Mkongo, imevunwa yote kwa kasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wandugu mwenye kujua ukweli wa hii kampuni ya CA TRADE CAR VIEW ya japan inayohusika na kuuza used car kutoka japan naomba unipe uhakika wa hii kampuni isije ikawa ni matapeli wa nigeria wanatumia...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Wadau kama kawaida yetu, tunapeana taarifa mbali mbali kuhusiana na maisha yetu. leo napenda kuwatahadharisha wale wote wanaotumia Bandari ya Zenj kupitishia mizigo yao hususan magari kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi wa handeni wameandamana baada ya kutapeliwa sh 20000 kwa ahadi ya kupelekewa matrekta na chama cha ADC!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vyema niseme ili panapowezekana na dalili zitakapojitokeza tuwe macho kupingana nao. Katika mazungumzo yangu na rafiki wa karibu (ON FURAHI DAY) anayefanya kazi kwenye wizara nyeti inayohusika...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
mwaka huu chama cha walimu Tanzania maarufu CWT kilikua na mishemishe nyingi za kupigania maslai ya wanachjama wake. chakushangaza ni kwamba wapo kimya sasa sifahamu kama wafyata mkia au vipi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MKAZI wa Dar es Salaam, Saidi Mohamed, amejikuta matatani baada ya kudaiwa kufanya utapeli na kujipatia Sh 2,870,000 kutoka kwa watu watatu tofauti. Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani draft ya katiba tayari,tupange lini tukutane musoma mjini au popote mnapoona panafaaili tuipitie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamanda kuna taarifa kuwa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro kinaanda tamko la kuwakana wanahabari wenzao waliojifanya mapolisi na kwenda kukamata sukari usiku wa manane huko himo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Naomba mkuu mwenye namba ya simu ya mfanyakazi yeyote anayefanyia Higher Education Students' Loans Board Anipatie. Kuna wanafunzi wana shida na mikopo yao, hivyo nataka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jumanne, Novemba 20, 2012 06:56 Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka Asasi za Kiraia (Azaki) kuwa chachu ya upatikanaji wa ajira...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro, Moshi Vijijini kijiji cha Uchau kaskazini kata Kibosho Kati na kumuua mtoto mmoja na wengine kujeruhiwa. Majambazi hayo yalivamia nyumba tatu za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za mchana TAMISEMI,ni taasisi yakiserikali ambayo inasimamia mambo mengi mojawapo likiwa ni elimu.Kabla ya,sekta ya elimu kuingizwa TAMISEMI,wataalamu walishauri elimu isiingizwe.Tulioko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
na Mohammed Mhina, zanzibar Tume ya Rais wa Wanzibar ya kuchunguza chanzo cha ajali ya meli ya skagit, leo imetoa ripoti yake kwa waandishi wa habari na kubainisha baadhi ya karoro na kutoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…