Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
Wadau,
kuonesha kuwa mitandao yakijamii haijali rika wala makazi. Papa Benedict ametweet leo, siku isiyojirudia mpaka karne ijayo. Tarehe 12-12-12, noana tu labda alichelewa mda, vinginevyo angemalizia tu iwe saa 6 mchana, yaani 12-12-12.
hapo tungepata msururu wa 12-12-12, 12-12-12. 😀
Hebu jisomee mwenyewe.