Satelite conference

Satelite conference

Bisura

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
12
Reaction score
4
Habari za leo. Nimeoneshwa huu mtandao na mfanyakazi mwenzangu ambae ni mtumiaji wa muda mrefu, umemsaidia sana mambo mengi nikavutiwa.Nawapongeza waanzilishi.Long Live.Naamini nami nitaenjoy na kunufaika pia. back to the topic Jamani kwa aliyewahi au anaeelewa chochote kuhusu SATELLITE 2013 Conference exihibitions, itakayofanyika Washington DC mwezi march mwakani ),on namna ya kushiriki (attending),kwa mtanzania anayetaka kwenda kupitia kampuni flani ya softwares,i mean visa ya aina gani inahitajika pamoja na documents/details za aina gani zinahitajika ambavyo vitakuwa like a convincing power for you to be accepted ubalozini. Mimi sielewi chochote ndomana nauliza natanguliza shukrani nyingi kwako.
 
Google,satelite conference 2012
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom