Dc wa Handeni akiwa kwenye kazi za ujenzi wa madarasa kaonekana amevaa kaptura na badae ameshiriki kukanda udongo. Ameonyesha mfano mzuri kwa wananchi. Je mbinu hii itawaokoa magamba 2015? Kila kukicha wana CCM wanakuja na mbinu za kuwadanganya wananchi