Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Wanabodi!Ninaomba mnisaidie picha ya pamoja ya watoto wa baba wa taifa na majina yao tafadhalini sana.Mbarikiwe!
Hapana mkuu nataka nimshukuru Mungu kwaajili yao kuwaombea.Haleluya!Unataka ukatambike?
Jf huwa hapaishi vituko!!
1) Andrew
2) Makongoro
3) Rose
4) Charles
Hawa ndiyo ninaowajua mimi
Is it???5.yericko
Wanabodi!Ninaomba mnisaidie picha ya pamoja ya watoto wa baba wa taifa na majina yao tafadhalini sana.Mbarikiwe!
Mathayo 23
9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
Mzazi wako wa kiume wamuitaje wewe? Mshua?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Atakuwa anamwita uncle!Mzazi wako wa kiume wamuitaje wewe? Mshua?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
tunazidiana capacity za uchizi!mathayo 23
9 wala msimwite mtu baba duniani; maana baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
Wanabodi!Ninaomba mnisaidie picha ya pamoja ya watoto wa baba wa taifa na majina yao tafadhalini sana.Mbarikiwe!
Una maana huiamini Bibilia?
Jibu swali we shekhe...
Unakariri biblia badala ya kuelewa ili uende ukawadanganye wenzako pale Mwenge au Manzese..