Tofauti ya hadithi za kale na za siku hizi.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Enzi zetu hadithi zilianza hivi, 'Hadithi hadithi, hapo zamani za kale..............'. Enzi hizi hadithi huanza hivi,'Akina baba hoyeeee, akina mama hoyeeee, ndugu wananchi mkinichagua mimi..............'
 
sisi ni wanazuoni wetu ni mabingwa wa kukosoa vya kale, kuliko kuanzisha au kubuni kitu chake, mfano; hadithi, hadithi, - hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea.hakika mababu walifikiri na kubuni kiitikio sahihi kabisa kwa mujibu wa hadithi zao nzuri zilizopotea kwa kukosa uhifadhi wa wanazuoni wa sasa wenye kukosoa na kuleta msemo kinzani; hadithi ,hadithi,- hadithi njoo, ukweli njoo utamu kolea. kana kwamba kwenye hadithi hakuna uongo, matokeo yake ni kushindwa kuhifadhi hadithi nzuri za kale na kuleta hadithi dhaifu za bongo fleva. MAMA NTILIE, wanazuoni wanaleta MAMA LISHE jiulize kwa nini waliitwa mama ntilie hakuna uhifadhi imepotea, sababu ya wanazuoni wa sasa. SHULE YA VIDUDU- wanazuoni chekechea kwanini iliitwa vidudu.?
 
Back
Top Bottom