Benz Petrol
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 504
- 196

Hii headline news kwenye gazeti la Jambo Leo kweli inatia aibu. Wahariri kwenye magazeti ya bongo, ambayo hununuliwa kama njugu, siku hizi wamekua 'vilazi' yani watu wa kucopy and paste tu habari za mitandaoni. Kwa mtu mwenye upo kidogo wa kuisoma na kuitafakari habari ya kwamba Tyson amejibadilisha kua mwanamke angeelewa kuwa habari hiyo siyo ya kweli. Unaweza kuisoma hapa. Swali je ni nani anasimamia upuuzi huu wa wa magazeti kutoa habari mitandaoni, nyingi ambazo siyo za kweli, na kuwapa waTanzania habari potofu kama hizi. Magazeti makini kama Mwanahalisi ambalo hutoa habari na data wanazo kuprove habari - wanafungiwa!
Angalia tunavyo tia aibu:
Africa papers carry Mike Tyson 'sex change' spoof
Several online newspapers in Africa have published a spoof story about former heavyweight boxing champion Mike Tyson having a sex change.
The article first appeared on the UK satirical website, NewsBiscuit, at the end of November.
It was then published by Zimbabwe's Standard on Sunday and picked up by the SpyGhana news website on Tuesday.
NewsBiscuit said their site kept crashing on Wednesday because of increased hits from Africa.
"We've had half as many visitors from Africa in the last few days as we'd expect generally in a whole month," comic writer John O'Farrell from NewsBiscuit told the BBC.
Bofya hapa kuendelea kusoma hii habari.