Matokeo ya saba!

Matokeo ya saba!

dubwela

Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
28
Reaction score
2
Matokeo ya la7 bado ndo maana wengine wenye mawazo makubwa wanajiona watoto wao watakwenda shule tu bila kujali muda wa kujiandaa au waziri aseme mashine nazo zimegoma. Haya 2liyatarajia ktk serikali ambayo wafikiriaji wanawaza nn napata hawakufanya majaribio ya kutosha kwa watoto matokeo wanawapa watoto wafanye mtihani wakati watoto we2 ni WABONGO FLEVA au nikweli nchi nzima wamefaulu wa 5 tu? Wadau hawa wangejua uwajibikaji wangejiuzuru
 
Back
Top Bottom