Msaada: Jinsi ya kuigundua Simu Original na Fake

Msaada: Jinsi ya kuigundua Simu Original na Fake

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
4,421
Reaction score
1,792
Wadau, naomba msaada namna ya kuigundua simu kama ni Original au ni Fake.

Nasikia kuna namba unaandika katika simu kisha unagundua lakini sijaweza kuelewa hizo namba na jinsi ya kufanya.

Msaada wenu Please;

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Andika *#0000#
Then watakuletea data wasipoleta jua hicho ni kimchna.
 
hata mimi nahisi kila brand ina namna ya kujua ni fake au original its better akasema brand na model yake
 
Ni rahisi sana kugundua, we iweke tu kwenye kidumu cha maji kama nusu saa hivi, kisha ukiitoa na ikaendelea kufanya kazi kama kawaida, hiyo ni Origino,isipofanya,huyo ni chinese.
 
Pigisha kwenye jiwe, isipopasuka ni orijino ikipasuka ni feki.
 
*#92702689# then piga OK.Jaribu hyo kama ni Nokia Yeyote itajibu.Kama ni fake hakuna kitakachotokea.
 
*#92702689# then piga OK.Jaribu hyo kama ni Nokia Yeyote itajibu.Kama ni fake hakuna kitakachotokea.

huhtaji kubonyeza ok kwa nokia original, yaani kitendo cha kuungiza hzo namba bila kukusea unapobonyeza # inaleta automatic taarifa za simu yako.
 
Hakuna tecno originala ujue hilo kwenye nokia watakusaidia
 
Simu fake inatambulika kwanza kwa bei yake ikiwa utanunua hapa Bongo kama vile maeneo ya Kariakoo nk. Pili utagundua kuwa ni fake kwa ku dail *#06# kisha hesabia zile tarakimu. Tarakimu ya Saba na Nane ikiwa ni tarakimu 00 basi hiyo ni ORIGINAL.
Mfano 253978008745678 Kama utapata tarakimu hii basi hiyo ni ORIGINAL.
 
nimefanya hivyo yangu original :becky:
 
Back
Top Bottom