Hongera Star Tv


Captain22

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
629
Points
225
Captain22

Captain22

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
629 225
Nawapongeza sana star tv kwa kuweka wazi kuwa tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa TANGANYIKA. TBC wanaendekeza sera za ccm wameandika Uhuru Wa Tanzania bara nchi ambayo haikuwahi kutawaliwa kama koloni katika historia yake
 
Mumwi

Mumwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Messages
592
Points
0
Mumwi

Mumwi

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2011
592 0
Zanzibar ilipata uhuru lini? Maana Tanzania na Zanzibar ziliungana 1964?
 
Captain22

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
629
Points
225
Captain22

Captain22

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
629 225
Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe 10 December 1963.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,886
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,886 2,000
Dah ! Hivi bado kuna wanoiangalia Tbc kweli ? Umejitahidi sana .
 
mwaxxxx

mwaxxxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
859
Points
195
mwaxxxx

mwaxxxx

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
859 195
Zanzibar ilipata uhuru lini? Maana Tanzania na Zanzibar ziliungana 1964?
Tanzania haikuungana na Zanzibar,,,,,,,,,,,,
Tanganyika + Zanzibar = TANZANIA
 
K

katalina

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
264
Points
0
K

katalina

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
264 0
Ni kweli kwamba uhuru huu wa 1961 ni wa Tanganyika. Neno Tanzania au Tanzania bara lilikuja baadae mwaka 1964 baada ya kuungana na zanzibar. Lakini vilevile TBC waweza kuwa sahihi kwani baada ya muungano, Tanganyika ilibadilika na kuitwa Tanzania bara.
 
D

dapo

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
100
Points
0
D

dapo

Senior Member
Joined Oct 26, 2012
100 0
Ni kweli kwamba uhuru huu wa 1961 ni wa Tanganyika. Neno Tanzania au Tanzania bara lilikuja baadae mwaka 1964 baada ya kuungana na zanzibar. Lakini vilevile TBC waweza kuwa sahihi kwani baada ya muungano, Tanganyika ilibadilika na kuitwa Tanzania bara.
sisi ni tanganyika hayo unajua ww na wana ccm wenzako
 
tutaweza

tutaweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
630
Points
250
tutaweza

tutaweza

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
630 250
Halafu mara nyingi 'Zanzibar' waiita 'Zanzibar', mbona hawatumii 'Tanzania visiwani?'
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
17,675
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
17,675 2,000
Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe 10 December 1963.
hapana Zanzibar ilipata Uhuru wake 12.01.1964 hiyo tarehe unayoitaja wewe ni uhuru wa Mwarabu na watwana wake
 

Forum statistics

Threads 1,283,662
Members 493,764
Posts 30,796,057
Top