Wadau napenda kuuliza leo nipo gizani nimejaribu kununua umeme tigo pesa na M-pesa, lakin sipati Max malipo wanasema network inasumbua. Anayejua kuna nini huko anijuze kwani sijui tatizo litakwisha lini hili.
Hata mm nimenunua kwa mpesa mpaka sasa sjapata nikapiga voda wakanipa namba ya customer care tanesco nikapiga wakasema kuna tatizo la network ila wanashughulikia mpaka sasa sijapata tangu saa 8 mchana.Majanga etii
Mimi pia nililazimika kulala bila umeme jana maana toka jana jioni wanasema network inasumbua lakini hatimaye nimepata umeme jioni hii vituo vyote vya LUKU mchana kutwa wanasema network hakuna, nadhani TANESCO wajipange kwanza kuboresha huduma kabla ya kufikiria kuongeza bei.
Me ndo nilikuwa sjiu kitu nimenunua kwa mpesa nikazawadiwa na muda wa maongezi tu bila token
nikapaga c.care voda wakasema nitaletewa baada ya mafundi tanesko kumaliza
Kurekuebsha maaana network yao hamna!
Nikanunua na tgpesa hapohapo nikapewa token!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.