Msaada kuhusu kijiji cha Nkungi, Singida

Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,384
751
Ninaomba kufahamishwa kijiji cha Nkungi kiko jimbo gani la Iramba na ni nani Mbunge. Asanteni sana
 
https://www.facebook.com/media/set/fbx/?set=a.119580374719370.20078.118994791444595

Nkungi Village Wind Turbine - Nkungi, Tanzania - Windmills on Waymarking.com

hebu google bwana, kuna a lot of interesting info about that village. Ukifanyiwa spoon feeding utakosa kujua. Natumia simu, ningekupestia.

Ahsante-niliangalia hii site kabla sijaomba msaada na sikupata jibu la swali langu. Je, hili jimbo lipo chini ya CHADEMA au kile chama kingine (sitaki kukitaja kwani nitapata kichefu chefu)?
 
Kipo Jimbo la Iramba Mashariki na Mbunge wake ni Ndugu Salome Mwambu.
Usichanganye Nkungi na Ikungi.Ikungi ipo Jimbo la Singida Mashariki kwa Ndugu Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom