bhikola
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,130
- 1,659
Wanandugu wa JF heshima mbele
Wamarekani na wazazi wote poleni kwa yaliyotokea shuleni kwenu
Back to topic:
Wadau hivi hii tabia hasa ya Obama kulia lia au kutoa michozi hadahrani, kwanza kama mwanaume, na pili kama kiongozi mkuu wa nchi tena kubwa duniani mnalionaje?
Binafsi naona siyo kitu kizuri hata kama umefadhaishwa namna gani, inakuwa kama anataka kuongoza kwa kuonewa huruma zaidi kuliko kuonesha mikakati ya msingi katika kutatua matatizo,
ni mawazo yangu tu jamani, waweza toa nawe maoni yako, karibuni