sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,261
- 651
Makamu wa Rais,DrGharib bilali amewataka waislamu nchini kuweka juhudi zaidi katika elimu ya dini pamoja na elimu dunia ilikuepuka matatizo mengi yanayosababishwa na ukosefu wa elimu hiyo.Makamu wa rais aliyasema hayo katika sherehe ya mwaka wa kiislamu ziilizofanyika jijini Dar es salaam jana.