Pictures: Uwanja wa ndege Songwe - Mbeya waanza kutumika, ndege zaidi ya tatu zatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pictures: Uwanja wa ndege Songwe - Mbeya waanza kutumika, ndege zaidi ya tatu zatua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Dec 13, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  THURSDAY, DECEMBER 13, 2012


  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]MWANDISHI WA HABARI KAMANGA WA BLOG YA MATUKIO AKISHUKA TOKA KATIKA NDEGE KUZINDUA UWANJA HUO[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]BAADHI YA WTUMISHI WA UWANJA HUO WAKISHUSHA MIZIGO TOKA KATIKA NDEGE[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]BAADHI YA ABILIA WALIOSHUKA UWANJANI HAPO[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]MAMA HELLEN LAIA WA UGANDA AKIFURAHIA KUTUA KATIKA KIWANJA HICHO CHA SONGWE MBEYA[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]MWENSHIMIWA DIWANI WA KATA YA SISIMBA G. KAJIGIRI AKISUBIRI MGENI WAKE TOKA DSM[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]MOJA YA MAAFISA WA UHAMIAJI UWANJANI HAPO

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  TUTAZIDI KUWALETEA KINACHOJIRI UWANJANI HAPA SONGWE
   
 2. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Duuu that's great ila wasitudanganye kuwa ni wa Kimataifa hizo stori tumeshazichoka ni uzushi huo ni uwanja wa Mkoa tu sio wa Kimataifa
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145

  Mara NYINGI huwa kuwa MABANGO yanayoonyesha nani ni CONTRUCTOR wa HICHO KIJIWACHA... Lakini hakuna BANGO!!!
  Yaani VINDENGE vidogo VITATU ndio FURAHA? tena kutua kwenye VUMBI?

  Ni nani alibeba PESA za UWANJA? WIZI kila KONA na RAIS wetu anakwenda KUSHEHEREKEA Uzinduzi lakini MAJI kwenye JENGO KUU hakuna MITARO? tunataka kujua MJENZI ni nani au KIKOSI cha UJENZI cha MGAMBO ndio walioujenga UWANJA HUO???

  SHAME!!! SHAME... NAPE NNAUYE anatakiwa kuwa huko SONGWE kuona MRADI wa CCM unavyoimarika na UFISADI...

  ** HICHO KIKOCHI kweli ni CHA UWANJA wa NDEGE? Au Mfanyakazi MMOJA kaondoa KOCHI lililochoka NYUMBANI kwake na KUPANDIKIZA hapo AIRPORT? na yeye kabeba MAMILIONI TUMBONI.... CCM badala ya kufungua MAGEREZA kwa kuweka WEZI wa UKWELI wa MALI za SERIKALI; Inayafungua hayo MAGEREZA kuwaweka NDANI WABUNGE na MADIWANI wa CHADEMA...
   
 4. W

  Waambi JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 736
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That's great! Looking forward to landing there soon
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 24,170
  Likes Received: 11,537
  Trophy Points: 280
  hahaa naona kuna makapu ndan ya ndg,natmai hata kuku na mbuz wamo,
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,817
  Likes Received: 816
  Trophy Points: 280
  Kandege kamoja nakaona ni mali ya TANAPA katakua kameleta maafisa wa KITULO NATIONAL PARK, any way changamoto ni kubwa ila kwa kuanzia sio mbaya, ukiwa unatoka DAR kwenda MBEYA kwa basi safari ni ndefu sana, Mashirika ya Ndege yachangamkie fursa ya kwenda MBEYA sasa naamini wasafiri wapo wa kutosha kabisa
   
 7. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Hivi bado tunajenga infrastructures za 1920s?
  Sasa huo ndiyo uwanja gani?
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Layout ya runways sijaipata vyema,.maana hamna plan view ya uanja, lakini hayo majengo yamenidisapoint sana, hivi architects wetu wana matatizo gani? kwanini u-design kajengo ka ajabu ajabu? hamtembelei nchi za wengine mkajifunza?
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 0
  We unapenda uone mikoba ya ngozi tu kwenye ndege?
   
 10. t

  taxbabe Senior Member

  #10
  Dec 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tanzania bwana wasaniiii. Eti uwanja wakimataifa... Vijengo kama airport ya mwanza. Wa dar wenye ni mkubwa kuliko hata uwo. Wajipange!
   
 11. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  A Bull shit airport indeed!

  Mahali pana potential kubwa ajabu kuwa HUB ya Great lakes na SaDC; Halafu wanatokea wajinga wawili watatu wanadesing kakiwanja utafikiri kwa ajili ha kuhandle ndege za Barrick Bulyanhulu???

  Nyambafu wote mliodesign takataka hii pale Songwe....
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,795
  Likes Received: 8,748
  Trophy Points: 280
  mkuu nngu007 nauli bei gani mpaka dar...manake juzi nimepanda abood Tunduma-Dar nimeingia Dar saa nane usiku toka saa 1:30 asubuhi...kama ile kampuni mpya imekuja na mbeya tuambie tafadhali tumechoka kuzunguka kona ya kitonga.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 133
  Angalia! wenzetu hawa hawachelewi kupakia magunia ya mchele na hatimae ndege kushindwa kupaa!! Maana hayo makapu yanavyoonekana kama kiashilia vile..............!!
   
 14. A

  Amani Mrimbo Member

  #14
  Dec 13, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tz people try to realize yr self!
  Do u want the J F Kennedy airport at songwe!
  That will happen only when our shadows start talking.
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tutaendelea kujenga viwanja kila mwaka, badala ya kufanya kitu tukamaliza bado tunajifanya hatuelewi, mara tumethubutu tumeweza! its 21 century guys work up!! kiwanja cha ndege kinatakiwa kiwe kivutio kwa watu kusafiri kwenda sehemu za pande za huko.
   
 16. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Napendekeza Uitwe The memorial of DKT slaa international airport kuenzi ugunduzi wa kontena la kura hapo 2010 ambalo mpaka leo kabaki kuwa mtu pekee aloshuhudia kontena hilo la kihistoria!
   
 17. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,599
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  medival
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145

  FASTJET Destination zake ni BADO MWANZA, DAR, KIA... Hawajaongeza Safari za MIJI MINGINE BADO
  Wanataka ku-realize profit kwanza sababu; SODA, KARANGA na CHAKULA inakubidi kama unataka UTOE PESA MFUKONI wakati UPO ndani ya NDEGE...

  Kwahiyo wanafanya hiyo MIKOA MITATU kuona kama Watu hao Watanunua Vyakula...
  Sababu FAIDA ndio wao Wameiweka HUKO kwenye VIBURUDISHO; USAFIRI rahisi
   
 19. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 800
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
 20. L

  Leornado JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona uwanja duni kiasi hiki kwa 21century? bure wangeacha kuliko kukurupuka na kutoa kitu cha ajabu hivi
   
Loading...