Kijana aliyetambulika kwa jina la Abdallah Salumu wa miaka 18, mkazi wa Charambe Mianzini, Wilaya ya Temeke alikutwa akining'inia chumbani kwake, akiwa amejifunga kamba aina ya katani...
Nafatilia mjadala huu hapa naona kweli wanahabari wanatakiwa kuacha kutumika kishabiki na wanasiasa wajali taifa kwanza
Wanasema hapa kuwa gazeti la mwanahalisi kufungiwa ni sahihi lilikuwa...
Padri anaetambulika kwa jina la PETER MINJA amefariki dunia jana kwa matatizo ya presha ya mda mrefu na kupelekea damu kuganda katika mzunguko wake wa ubongo. imeelezwa kua hakuna uhusiano wowote...
Tanzania imeingia kwenye record mbaya ya ukandamizaji na uuaji wa waandishi wa habari kwa mwaka 2012. Katika taarifa iliyotolewa na Committee to Protect Journalist (CPJ) World wide imesema...
Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mtumishi mwenzake kwa bahati mbaya walipokuwa katika sherehe za kumuaga mwenzao katika hotel...
Kuna semi-trailer yenye shehena ya viroba vya sukari imeacha njia na kuparamia streetlight pole na kuvuka upande wa pili na kugongana uso kwa uso na semitrailer nyingine,kwa sasa ulinzi upo wa...
Wadau habari za asubuhi:
Kipindi cha tuongee asubuhi kipo hewani sasa, mada jicho letu ndani ya habari.
Wanajadili namna vyombo vya habari vilivyo report vulugu za mbagala na Zanzibar. Je vyombo...
Wakati ujangili unaotishia kutoweka kwa baadhi ya wanya katika hifadhi za taifa nchini ukiendelea kushika kasi, imebainika kuwa baadhi ya mahakimu, polisi na waendesha mashtaka ni wahusika wakuu...
Mwanaume mmoja mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam, aliyejulikana kwa jina moja la Ombeni amemfuma laivu mkewe aitwaye Dina, akijiuza huku akidai kuwa mama watoto wake huyo kaacha kichanga nyumbani...
Kuna kitu kinanitia shaka kuhusu huu
unaoitwa uponyaji..
Kwanini watu wanaoombewa na kupona ni hawa tunawaona kwenye TV tu?
Toka umezaliwa umewahi kuona kipofu au kilema unayemfahamu akaombewa...
Badilika kifikra na mawazo yako kutoka analogia (CCM) na kuhamia Digital (CHADEMA) penye matumaini ya Kizazi hiki na kizazi kijacho. Ukinganania analogia utapitwa na wakati utakuwa mtu wa...
Friday, December 28, 2012
Balozi wa Tanzania Nchini Oman Ali Ahmed Saleh, akizungumza na Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Leo alipokuwa Nchini Oman akiripoti...
Wakuu, habarini za jioni.
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Watanzaniai tuongee Magazeti cha RFA kila inapofika saa 12:30 asbh, katika fuatilia yangu ya karibu sana kwa watangazaji wa...
Katavi national park is ready for sustainable mass tourism, thanks to the paving and lengthening of the runway and the refurbishing of the Mpanda airport terminal building, only 40km from the...
Hiki ni choo cha muda cha kwanza cha shule ya msingi Lipangala Ludewa mkoani Njombe kilichobomoka toka mwaka 2004
Shule ya msingi Lipangala Ludewa
Hiki ni choo cha kisasa...
Baba wa taifa mwalimu Nyerere aliwahi kutoa mtazamo wake juu ya maendeleo ya taifa hili. Alidai kuwa,ili tuendelee tunahitaji vitu vinne ambavyo ni:
1:watu
2:Ardhi
3:Siasa safi na
4:Uongozi bora...