kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Nafatilia mjadala huu hapa naona kweli wanahabari wanatakiwa kuacha kutumika kishabiki na wanasiasa wajali taifa kwanza
Wanasema hapa kuwa gazeti la mwanahalisi kufungiwa ni sahihi lilikuwa linakiuka sana misingi ya habar ktk kukosoa
Raia mwema latakiwa kuigwa kuwa mfano bora
Watoto wamepigwa risas na kufa marekani na hatujaona miili yao je ingekuwa if ingekuwa hapa Tz?
Mwandishi anapigwa bomu tunarusha picha za aibu
Kip it up vijana kama Makonda