Ccm kama analojia chadema kama digital

MTENGETI

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,420
2,000
[h=5]Badilika kifikra na mawazo yako kutoka analogia (CCM) na kuhamia Digital (CHADEMA) penye matumaini ya Kizazi hiki na kizazi kijacho. Ukinganania analogia utapitwa na wakati utakuwa mtu wa Quantity without Quality[/h]
 

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
0
Nimeangalia mambo YANAVYOENDA KWENYE VYAMA VIKUU NCHINI NIKAGUNDUA KWA MATENDO YA VIONGOZI NA MASHABIKI WA VYAMA HIVI CHADEMA NI KAMA NOKIA YA TWANGA PEPETA WAKATI CCM WANAPETA KAMA IPHONE 5 Au BLACKBERRY!
 

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,804
1,500
CCM ingekuwa kama Iphone5, tusingekuwa na waziri kihiyo asiyejua Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mkuu jipange upya please
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,489
2,000
Nokia ya twanga pepeta??? Here comes another ccmis. nyie kweli vilaZWAAA
 

Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,851
2,000
Nimeangalia mambo YANAVYOENDA KWENYE VYAMA VIKUU NCHINI NIKAGUNDUA KWA MATENDO YA VIONGOZI NA MASHABIKI WA VYAMA HIVI CHADEMA NI KAMA NOKIA YA TWANGA PEPETA WAKATI CCM WANAPETA KAMA IPHONE 5 Au BLACKBERRY!

Hahahahshahsaaa.....
uploadfromtaptalk1356726482024.jpg
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,445
2,000
Ivi unaelewa ufisadi unaoendelea kwa sasa hasa kwenye wanyama wetu kama tembo wanawawa kila kukicha jamani watz wenzangu ninaona huruma sana tena hasa kwa vijana kununuliwa na hawa ssm ambao wanaendelea kufanya ufisadi kila kukicha. Siku ya mwisho wataulizwa na sijui watajibu nini maana huu ufisadi una waathiri watu wanyonge hasa wakina mama na watoto wasikuwa na hatia. Ee Mungu tusaidie. Vijana kutumika kwenye siasa ni mchezo mbaya na hata haukuballiki. Ivi mnajua mnateketeza vizazi vyenu vijavyo. Jamani tuamke kama watu wa Misri, na kwingineko. Tna mali nyingi sana ila ukiangalia watz tunazidi kuwa maskini sana. Wakenya wanatucheka kwa sababu ya ujinga na woga wetu watz hasa vijana.
Nimeangalia mambo YANAVYOENDA KWENYE VYAMA VIKUU NCHINI NIKAGUNDUA KWA MATENDO YA VIONGOZI NA MASHABIKI WA VYAMA HIVI CHADEMA NI KAMA NOKIA YA TWANGA PEPETA WAKATI CCM WANAPETA KAMA IPHONE 5 Au BLACKBERRY!
 

Simple

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
249
250
Mfano wako braza HAUNA uhalisia. IPHONE ndiye aliyemwangusha Nokia,,Nokia yuko hoi kimapato zaidi,,wakati IPHONE anaiweka dunia mikononi. Nokia Twanga Pepeta ndo madudu gani hayo??

Chadema, chama kipya zaidi ukizingatia umri, lakini lengo lake ni kama la IPHONE,, kuwaongoza watanzania,, CCM chama cha zamani zaidi,,lengo lake ni kuendelea kuwaongoza watanzania.

Au labda watu tunaonaga simu tofauti?
 

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
0
Wanabodi mawazo yenu.
Kwa jinsi chademawanaendesha siasa zao kwa kujadili changamoto za nchi yetu kwa kutamka Elimu kuwa kipaumbele cha kwanza kwao rejea kauli za Mhe. Mbowe uzinduzi na uchangiaji wa M4C sio hilo tu Jinsi wanavyoelimisha umma kuhusu matumizi chanya ya Rasilimali zetu yatataua changamoto zinazotukabili za nishati, elimu na hata kupunguza umaskini na kuchochea Maendeleo.
Jinsi uchumi unavyotakiwa utazamwe kwa maisha ya kawaida ya mtanzania ulivyoweza tatua changamoto za mtanzania sio kivingine.
Viongoz wake wanavyoonyesha njia na kujitoa kuchochea MABADILIKO kwa kila hoja ya msingi kutazamwa kwa maslahi za nchi. Rejea tamko la chama by J. Mnyika dhidi ya upatikanaji wa GAS na mengineyo.
Nikiri Chadema DIGITAL na kutokana na ccm hasa viongozi kuwa kimya na wakiibuka Nape anaibua hoja kama za Kadi mbili za wanachama mfu ndani ya chama chake wenye historia bila kuibua hoja kuisaidia na hata kuisahisha serikali kutokana na mahitaji ya wananch ccm ANALOGY
We Je? ccm si analogy kweli
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,445
2,000
Ninaposoma massage kama hii najisikia uchungu sana ila nadhani wewe mwenzio uko kwenye nafasi nzuri basi wapiganie wale kule vijijini ambao hawajui hata taarifa ya habari inasikilizwaje tangu kuzaliwa kwao hawana hata ka mkulima oh God! Wazt wenzangu tusikubali kudanganyika kiasi hiki tufike mahali tuwajali wenzetu pia ili uweze kuandaa makazi mema hapo baadae. Ukifa hata leo utakuwa huna tabu maana ulitenda mambo mema ndugu zangu.
Nimeangalia mambo YANAVYOENDA KWENYE VYAMA VIKUU NCHINI NIKAGUNDUA KWA MATENDO YA VIONGOZI NA MASHABIKI WA VYAMA HIVI CHADEMA NI KAMA NOKIA YA TWANGA PEPETA WAKATI CCM WANAPETA KAMA IPHONE 5 Au BLACKBERRY!
 

chingunduli

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
268
225
hivi hizi akili munazitoa wapi? kuna mtu jana aliweka uzi hapa alikuwa anamfananisha dr slaa na kocha wa manchester united, itatokea siku hapa watu watafananishwa na mbwa. Mi nazani tuache kutumikia matumbo tufikiri kabla ya kupost kitu humu jamvini.
 

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,072
2,000
wewe kweli ni honey K.... sijajua K inasimama badala ya nini huenda hapo ndio tatizo linapoanzia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom