New mpanda airport to promote tourism in western circuit

Tengeneza

Member
Aug 15, 2011
19
20
Katavi national park is ready for sustainable mass tourism, thanks to the paving and lengthening of the runway and the refurbishing of the Mpanda airport terminal building, only 40km from the Park. The runway can accommodate modern and large airplanes such as ATR72.
 

Attachments

  • Photo 2-1.jpg
    File size
    23.2 KB
    Views
    212

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,919
2,000
Good!! Waziri mkuu kafanya mambo adimu ingawa hakuna ndege zinazotua isipokuwa za serikali
 

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,386
2,000
Thanks kwa UNHCR to assist this construction through funding it. Usione vyaelea ndugu yangu
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,537
2,000
Tanzania's third largest national park, it lies in the remote southwest of the country, within a truncated arm of the Rift Valley that terminates in the shallow, brooding expanse of Lake Rukwa.
Nasikia kuna Tembo wakubwa kama Nyumba
Jamaa wa Auric Air wanakwenda uko nimeona schedule yao!
Mcheza kwao hutunzwa bwana big up Pinda utakumbukwa daima na watu wa pande izo
 

PUNJE

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
355
250
WALE NDOROBO WA KATAVI HAWAPO SIKU HIZI? MARA YA MWISHO KUWA PALE; MWAKA 2002 MADIRISHA YA GARI LAZIME YAWEKEWE NYAVU AMA SIVYO DEREVA NA ABIRIA HAMTAKUWA SALAMA. Ila ni mbuga nzuri kutembelea NDOROBO KAMA WAMEDHIBITIWA..karibuni KATAVI; Pia ukiwa na bahati unaweza kukutana na mzimu wenyewe "KATAVI".
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,864
1,225
Katavi national park is ready for sustainable mass tourism, thanks to the paving and lengthening of the runway and the refurbishing of the Mpanda airport terminal building, only 40km from the Park. The runway can accommodate modern and large airplanes such as ATR72.

Mbona RUNWAY Nzuri zaidi ya MBEYA International AIRPORT???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom