Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Kuna kitu kinanitia shaka kuhusu huu
unaoitwa uponyaji..
Kwanini watu wanaoombewa na kupona ni hawa tunawaona kwenye TV tu?
Toka umezaliwa umewahi kuona kipofu au kilema unayemfahamu akaombewa na kupona? Kwanini zinabaki hadithi tu, ukiwa Songea
utasikia watu wakisema "kuna kilema
Mwanza aliombewa akapona"...ukienda
Mwanza nako utasikia, kuna mtu Arusha
alipona...
Hatuchezewi akili kweli hapa?

Im just thinking!!!!
 
Juzi niliona kipindi cha uponyaji cha anayejiita nabii Malisa, akasema sasa ntawaita viziwi waje niwaombee,wakapita kibao, akamuuliza mmoja ikawa hivi:
malisa: wewe ni kiziwi
jamaa: ndio
malisa:kwa muda gani sasa?
Jamaa: miaka miwili
malisa:unataka kupona?
Jamaa: ndio
malisa akamuwekea mkono kichwani na kumuombea kisha akasema tayari.
Nikasema kama ni movie hawakujipanga, kiziwi anaulizwa maswali anajibu bila hata kuonyesha kama anashida katika usikivu wake
 
huo ni ujasilia mali utatoaje sadaka kama hawatakutia kwanza hofu? uta ambiwa maombi yako hayawezi kusiklizwa kwakua huja panda mbegu au mbegu uliyopanda ni ndogo.
 
Juzi niliona kipindi cha uponyaji cha anayejiita nabii Malisa, akasema sasa ntawaita viziwi waje niwaombee,wakapita kibao, akamuuliza mmoja ikawa hivi:
malisa: wewe ni kiziwi
jamaa: ndio
malisa:kwa muda gani sasa?
Jamaa: miaka miwili
malisa:unataka kupona?
Jamaa: ndio
malisa akamuwekea mkono kichwani na kumuombea kisha akasema tayari.
Nikasema kama ni movie hawakujipanga, kiziwi anaulizwa maswali anajibu bila hata kuonyesha kama anashida katika usikivu wake
aaaah aaah kazi kweli kweli
 
ha ha ha,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Juzi niliona kipindi cha uponyaji cha anayejiita nabii Malisa, akasema sasa ntawaita viziwi waje niwaombee,wakapita kibao, akamuuliza mmoja ikawa hivi:
malisa: wewe ni kiziwi
jamaa: ndio
malisa:kwa muda gani sasa?
Jamaa: miaka miwili
malisa:unataka kupona?
Jamaa: ndio
malisa akamuwekea mkono kichwani na kumuombea kisha akasema tayari.
Nikasema kama ni movie hawakujipanga, kiziwi anaulizwa maswali anajibu bila hata kuonyesha kama anashida katika usikivu wake

Duh huu ulikuwa mchemsho wa kufunga mwaka.....waache maigizo
 
Waganga wa kienyeji hawana pa kula siku hizi maana uganga umehamia makanisani. Wateja ni walewale ila maneno yamebadilika kidogo kwa kumtaja Mungu na Yesu.Lakini hawa manabii wamekwenda mbali kwa kuweka matangazo ya biashara katika TV na redio... Wanaenda kisasa zaidi.
 
Jamani minashangazwa na hili nabii mpaka wakike yupo? Duhh! Jamaa ni noma. Lakini ningependa kujua hivi jamaa ni wadidini gani vilee?
 
wapo watumishi wa kweli mfano wa t.a.g, e.a.g.t, fpct, n.k pia wapo wasanii mf. huyo malisa, nyaga, suguye,rwakatare
 
Nasikitika kwa kuwa wanatumia matatizo ya ukosefu wa ajira, magonjwa, uelewa hafifu... KUWATIA WATU HOFU.
Naamini kabisa hawa watu hawana wezo wa kumwombea mtu apate kazi n.k, lakini ndio kauli mbiu zao za kila siku. Makanisa yanaota kama mchichwa wakati wa masika. Kuna yule aliyegomea amri ya TNESCO, sijui iliisha vipi.
Serikali inasema haina dini, sawa, lakini watu wake wana dini na inasajili hayo 'makanisa'. Hapa kuna utata. Nasubiri watu wachomewe 'makanisani', kama wafuasi wa Kibwetele, ndio Serikali itaamka usingizini.
 
Kekundu kekundu, kekundu kekundu, kekundu, wajinga ndiyo waliwao
 
Back
Top Bottom