inasemekana ni gari moja ilikuwa na shoti ndio moto umeanzia ,maana ni sehemu bubu ya kupakia magari
Duh! Mkuu poleni sana wa karibu na hilo janga huko! huna number za Polisi mkuu kama hao wauza sura wanakata simu. jaribuni za Polisi kama watasaidia na nguvu za wananchi pia zitahitajika! ila hizo nguvu za wananchi zinataka influence ya watu kama wewe mkuu!! stay safe!!:bowl:
tulitaka kuwapa kichapo kwanza fire ndio wazime,ila ngoja wamalize kazi kwanza.