Sakata la mume aliyemfumania mkewe akijiuza

Sakata la mume aliyemfumania mkewe akijiuza

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,946



​
Mwanaume mmoja mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam, aliyejulikana kwa jina moja la Ombeni amemfuma laivu mkewe aitwaye Dina, akijiuza huku akidai kuwa mama watoto wake huyo kaacha kichanga nyumbani.

Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri katika Barabara ya Shekilango, maeneo ya Sinza, Dar usiku mnene wa saa 8:25 kuamkia Jumamosi iliyopita.

Ombeni alidai kuwa alifika nyumbani kwake Vijana-Kinondoni, majira ya saa 6:15 usiku akitokea safarini mikoani alikoenda kikazi takribani wiki mbili zilizopita ambapo alipoingia ndani aliwakuta wanaye wamelala bila mama yao.


"Nilimwamsha hausigeli, nikamuuliza mama yupo wapi? Ndiyo akanieleza kila kitu baada ya kumtishia kumfukuza kazi. Aliniambia siku hizi mke wangu anajiuza Barabara ya Shekilango," alisema jamaa huyo.


Baada ya kujikusanyia data, ndipo alipowatafuta wanahabariambao aliwaomba walifuate gari lake kwa nyuma kwani alikuwa akimsaka mkewe.


​

Haikuwa kazi rahisi kumpata mkewe kwani zoezi lilianza saa 7:05 hadi 8:25 usiku huku akifanya ‘ruti' za kumwaga kutoka Shekilango hadi Mwenge na Mwenge hadi Shekilango.

Alipofanikiwa kumwona mkewe na kumwita kwa jina lake la Dina, ndipo akashtuka na kuanza kutoka nduki kisha kutokomea gizani akiwa na wenzake.


"Niliambiwa nikakataa, sasa nimeshuhudia kwa macho yangu, hakuna sababu ya kupindisha maneno. Nilimlipia mahari karibu ng'ombe tisa, atakapofika nyumbani ataikuta talaka ikimsubiri," alisema Ombeni akionekana mwenye hasira.


 
Mmmh! Huyo dada mwenye nguo ya pinki mbona kama jirani yetu? Au macho yangu yamekosea?
 
Si ajabu jamaa hakumwachia pesa ndo kaenda kuzitafuta

Ana kichaa cha ngono huyo.

Atakuwa ameachiwa matumizi ya kutosha lakini kwa kuwa kunamuwasha ndio maana amekwend kujiuza. Anafikiri ni mali siku hizi hiyo nanii yake.

Pumbafuuuu kabisa huyu hayawani!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Huyo mume nina mashaka nae..,yaani kitu alichokumbuka ni kutafuta waandishi wa habari ili aende nao eneo la tukio bila kujua kuwa aibu ya mkewe na yeye anahusika.Anajisikiaje linavyotajwa jina lake.,"Mke wa bwana Ombeni" akutwa akijiuza.
Hizi jando za hospitali zimeondosha utashi na akili kwa wanaume wengi sana Tz.,bora tuzirudishe zile za porini.
 
Hakuna la ziada ni kwamba Dunia imeisha isha mda mrefu. Hata kama ndo ny****e hizo ni too much lkn hata hivyo hizo nye***e nadhani hazipozwi kwa mtu kwenda kujiuza sidhani kwa kweli! dada anatakiwa aombewe maana si bure!
 
Mke ingekuwa ni chakula na mavazi asingeolewa,
kila leo mume ni safari acha bi dada nae atafute burudiko la roho yake.
 
yeye mwanaume alikuwa analala wapi mpaka akamwaachia mkewe mwanya wa kukamata wateja wa buku 2?
 
Hongera mama kwa kuwa muwekezaji, unasaidia kuongeza kipato cha familia. Mzee hajajua tu, atakukumbuka baadaye. Kazi njema kwa kuwa sasa upo huru. Mie pia ni mteja wako.
 
mazoea hufanya tabia ya mtu.

Sisi wanaume,huwa tunajaribu kuwarekebisha wenzi wetu kimtazamo ili jamii inayotunzunguka ikakubali.
Mke akishaingia ndani ya ndoa,tabia yote ya zamani haijifichi tena.

Kweli Changundoa asiye kuwa na bahati,hata akipata ndoa biashara yake haiachi kamwe,lazima azue matatizo ya hapa na pale.
 



jamani mnavyoona hivyo vimini hawana chupi ndani ni mwendo wa niangusege tu, mimi nimeshuhudia laivu siku moja kabla ya xmass tena wakiwaonesha Polisi maungo yao yote barabarani majira ya saa 5 pale karibu na Leaders​
 
Back
Top Bottom