Nyerere na falsafa yake ya maendeleo.

Mkulia

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
375
225
Baba wa taifa mwalimu Nyerere aliwahi kutoa mtazamo wake juu ya maendeleo ya taifa hili. Alidai kuwa,ili tuendelee tunahitaji vitu vinne ambavyo ni:
1:watu
2:Ardhi
3:Siasa safi na
4:Uongozi bora.
Ni zaidi ya miongo tano sasa imepita tangu tupate uhuru na nchi hii inazidi kuzama katika lindi la umaskini. Je,falsafa yake haikuwa na Mashiko? Kama falsafa yake ipo sahihi tatizo la umaskini wetu hasa ni nini? Na tufanye nini kama taifa ili tuweze kufikia hiyo ndoto ya mwalimu Nyerere juu ya maendeleo? Tujadili.
 

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,375
2,000
Kwanini sisi ni masikini hilo swali MUKULU alishasema hata yeye hajui ...ila nini kifanyike ni kujitathmini upya na kukubali ukweli mchungu tutakao upata katika tathmini hiyo kisha tuufanyie kazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom