Ras jah wa ppf atuombe radhi wanahabari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ras jah wa ppf atuombe radhi wanahabari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marinabahati, Jun 6, 2011.

 1. m

  marinabahati Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachukua fursa hii kwa niaba ya wanahabari wote kumtaka Ras Jah atuombe radhi kutokana na matusi mazito aliyotufurumushia kuwa tumenunuliwa na PPF ili tusiandike madudu yatakayofanyika huko.

  Kwa kweli sikutarajia Ras Jah atoe matusi hayo kwa kuwa kwa muda mrefu amekuwa akituletea kazi mbambali ambazo pale ilipolazimu, hatukusita kuziweka hadharani. Lakini pia hatuwezi kuweka hadharani kila taarifa hususan pale taarifa anayotupa inakuwa haina ushahidi wowote wa maana.
  Baada ya kukataa baadhi ya articles zake sasa ametugeukia eti kwa kuwa tumehudhuria semina ya PPF basi tumenunuliwa. Ninyi wote ni mashahidi kuwa kule Arusha tulialikwa ili kufahamishwa mambo mengi yanayohusu Mfuko wa PPF, na kuonyeshwa vitega uchumi vilivyoko Arusha.

  Malipo kiduchu ya kujikimu tuliyopewa leo yanaitwa hongo. Haya ni matusi ya nguoni.

  Mwaka jana tulifanyiwa semina kama hii mjini Dodoma na watu wa NSSF, hawa walitupa posho inayoeleweka, wakatupatia usafiri na bado malazi walilipia wao Dodoma Hotel, hapo pia tulihongwa ?

  Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa Ras Jah alitufuatilia sana kule Arusha na kutupigia simu mara kwa mara akitaka kutupa taarifa ya kuibomoa PPF, lakini akagonga mwamba, ndipo akaanza visingizio vya kutushushia hadhi yetu.

  Huyu Ras Jah si mgeni machoni mwa Wanahabari wengi kwa kuwa hata tulipomwona kule Arusha hatukumtilia maanani sana, kwa sababu yeye kila akikutana na Wanahabari hana jipya zaidi ya kutaka kuleta habari mbaya za kutunga zinazohusu PPF. Mara nyingi amekuwa anatumia namba 0754008840 kuwasiliana nasi.

  Lakini Ras Jah ametugusa pabaya hivyo hatuna budi kumweka hadharani na yeye. Huyu jamaa ni Meneja pale PPF katika moja ya ofisi za Kanda lakini siku zote badala ya kushughulikia mambo yatakayoleta maendeleo katika shirika lake yeye anatafuta mambo ya kubomoa.

  Jamaa huyuhuyu amekuwa mstari wa mbele kuwashawishi waajiriwa wa sehemu mbalimbali wasijiunge na PPF wakati yeye alitegemewa kuwashawishi wajiunge huko. Kwa bahati mbaya viongozi wa PPF hawamjui kuwa anawasaliti, laiti wangejua wasingemwacha aendeleze madudu yake.
  Mambo anayoyafanya ni kama mwenye mtu mwenye kichaa, yaani amekalia tawi halafu analikata kwenye shina, hivi PPF ikianguka yeye atapona kweli ?
  Uongozi wa PPF jaribuni kuwapima akili baadhi ya wafanyakazi wenu wanaofanya mambo ya ajabu..
  Hili ndilo tatizo la ajira za undugu, kwa kuwa huyu Bwana aliingia PPF akitokea IST ambako alijiunga baada ya kufukuzwa Pricewaterhousecoopers. Wakati huo Mkurugenzi Mkuu alikuwa Naftali Nsemwa ambaye wanatoka kijiji kimoja. Enzi hizo huyo bwana alikuwa ndiye kila kitu, Mhasibu Mkuu na hakuna mtu aliyekuwa akikohoa. Mzee Nsemwa alijua kabisa kuwa huyu bwana ni kichaa lakini alimwajiri hivyohivyo. Halafu gia aliyoingia nayo ni kuwa alikuwa “Mlokole” Ee bwana eeh, usipime yeye na wenzake wengine walikuwa wakikutana kwa bwana Nsemwa kwa ajili ya maombi, ofisi ya PPF iligeuka ya wanamaombi lakini wote hawa walikuwa fake. Huku maombi, huku dhambi kibao, tuyaache hayo. Ushahidi wa yaliyokuwa yakitendeka nitayatoa live hapahapa JF.

  Hata kwenye haya mambo yao ya malipo alishawahi kumlipa Mzee Nsemwa mara tatu na bado mzee huyo aliendelea kupeta kwenye mikataba mifupimifupi. Wakati huo aliona hakuna tatizo kwa kuwa mlipwaji alikuwa anatoka naye kijiji kimoja, “Home Boy”
  Kwenye toleo lijalo nitawaletea mwenendo uliokuwepo wakati huo kati ya Ras Jah na Mzee Nsemwa ili muone kama Ras Jah anastahili kupiga vita ufisadi au la. Mtapima wenyewe.
  Hivi Ras Jah kwa nini usiache kazi huko PPF ili upambane vizuri ? Kila siku unakufa na Erio na wenzake halafu bado unafanya kazi chini yao. Acha kazi.

  Sasa nakupa siku saba utuombe radhi wanahabari vinginevyo nitakurusha hewani kuanzia Pricwaterhouse, IST na hapo PPF unapopachafua wakati ndio malazi yako.
  Usicheze na wandishi wa habari wewe.
   
 2. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Marinabahati sio mwandishi wa habari bali mfanyakazi wa PPF.
  2. Unamuonea bure kijana wa watu kwa tuhuma nzito ulizoweka. Kama wewe ni mwandishi wa habari unayejua maadili yako ya kazi, ungeweka wazi jina lako na chombo utokacho. Usiwatumie waandishi wa habari vibaya ili wote waonekane hawana akili. Kama kweli wewe ni mwandishi jitokeze wazi ili uthibitishe kuwa huwa unapewa hizo articles ili ashughulikiwe kwa taratibu za mfuko.

  3. Unasema kuwa baada ya kukataa baadhi ya arcles zake, ina maana nyingi huwa mnazikubali na kuzichapa, inaonyesha basi na wewe ni kichaa maana unasema huyu kijana ni kichaa. Kichaa anawapa articles mnaziandika kwenye magazeti yenu, ARE SERIOUS? Wewe sio mwandishi ni mfanyakazi wa PPF.
  4. Unasema "Jamaa huyuhuyu amekuwa mstari wa mbele kuwashawishi waajiriwa wa sehemu mbalimbali wasijiunge na PPF wakati yeye alitegemewa kuwashawishi wajiunge huko. Kwa bahati mbaya viongozi wa PPF hawamjui kuwa anawasaliti, laiti wangejua wasingemwacha aendeleze madudu yake." LETA USHAHIDI WEWE MWANDISHI MZURI ILI TUMFUKUZE KAZI.


   
 3. a

  asiamwandu Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhhhhhhhhhhhhh, haya makubwa tena
   
 4. a

  asiamwandu Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Audhubi Ilah Mina Sheitwan Rajim

  Itabidi niingie tena mtamboni nikachunguze. Sitaki kukurupuka, inshallah nikimaliza uchunguzi wangu nitaletwa jamvini.
   
 5. a

  asiamwandu Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sexon2000 ulishaondoka PPF vipi unayavalia njuga mambo ya PPF, au umeshamaliza endowment yako ? Kulikoni ?
   
 6. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,495
  Trophy Points: 280
  Mi napata shida kuwa sana kuwa upande wako. Kwanza hii issue inaonekana ni personal-mmekorofishana huko, unakuja kushtaki huku. Pili,hivi bahasha mnazopokea mnapoenda kufanya coverage ni za nini? Utazipa kipaumbele sawa habari uliyopewa bahasha na ile ambayo hujapewa bahasha? Bahasha mnazopewa zina tofauti gani na takrima tuliyoikataa?

  Wewe umeajiriwa na chombo chako, kama habari unayoifuatilia ina maslahi kwa Umma kwanini mwajiri wako asigharamie? Tena unalalamika PPF waliwapa hela kidogo ukilinganisha na NSSF! Nakumbuka sana mlivyozipamba shughuli za NSSF dodoma, kumbe mlipewa vitu vinono-hamkuona hata haja ya kupata mawazo ya wadau wengine wa shughuli za ujenzi NSSF Dodoma na aibu yenu ni kwamba majengo mliyoshabikia sasa yanavuja na yana nyufa za kutosha tu(hata Nape amekiri).

  Lazima mkubali kwamba hii tabia ya kupokea bahasha inaua kabisa 'independence' ya mwandishi wa habari, ni muhimu muachane nayo ili taifa lifaidi matunda ya taaluma yenu.
   
 7. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Marinabahati,

  Tarehe sita June hadi leo tarehe 11 July ni zaidi ya siku saba, tulisubiri mengi ili tumsurubu huyu Ras Jah wako. Ukimya wako umeonyesha kuwa wewe ni mwongo na si mwandishi wa habari na hasa waandishi wa habari wa siku hizi ambao hufanyia kazi jambo na wanapolitoa hadharani kila msomaji huamini kuwa limefanyiwa kazi. Ninacho amini sasa ni kwa kama si mmoja wa wale wezi wa milioni 200 kwa wakurugenzi na milioni 540 kwa mkurugenzi mkuu basi ni kibaraka unayetumiwa kumtuhumu mtu asiyekosa. Kwa kuwa aliwaambia ukweli kuwa wakurugenzi wa PPF ni WEZI wamelazimisha kujilipa mafao ya wafanyakazi wa kudumu wakati wao ni wa mikataba na wana pata 25% ya mishahara yao yote ya kipindi cha mkataba?

  Kama ana kosa hasa kuchafua hali ya hewa ya PPF, na kukosesha usingizi DG na wakurugenzi wake kwa nini asifukuzwe kazi kweli? Sio bure asemayo ni ya kweli wanamwogopa atawaburuza mahakamani. Mkumbuke maagizo ya kamati ya ZITTO KABWE ya bunge.

  Kama ni ya uongo na kama ulivyosema anafukuza wanachama wapya wasijiunge na PPF na amepewa kanda nzima kama Meneja, basi uongozi wa PPF kwisha kazi maana washindani wenu watamtumia vizuri huyu kuwabomoa kwenye hiyo kanda, kama ni kweli basi anaweza pia kuwa kwenye payrol za washindani wenu . Hivi mnawezaje kuendelea kumwachia kanda aendelee kuiharibu na kufukuza wateja? Nachukia ufisadi mno, kama anafukuza wateza basi huyu ni fisadi zaidi hafai kwenye mfuko (kama tuhuma ni za kweli za mwandishi uchwara).

  Kama ni kweli anafukuza wanachama wenu, na hamuwezi kumfukuza, msimpe kanda kuiongoza, mpeni kazi isiyomkutanisha na wanachama wenu kwa urahisi.
  PPF wameandaa SPECIAL RETRENCHMENT inaonekana hasa kumlenga huyu jamaa na wengie wataingia kwa bahati mbaya tu. YETU MACHO, kutumia mabilioni ili kumwondoa mtu mmoja tu? Kweli PPF imekwisha

  1 marinabahati tunakusubiri ulete nondo za huyu jamaa ili tumsurubu hapa uwanjani JF
  2. Ras Jah mbona umenywea kama vile imeingia baridi yabisi na kupanga NGIRI?

  Kama Marinabahati ulikurupuka, basi umwombe radhi maana hata simu yake ulituwekea hapa vinginevyo weka hapa jamvini uozo wake kama ulivyoahidi. Usiwe kama Asiamwandu AKA Dada Erio William  JF
   
 8. D

  Derimto JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa nimegundua kwa nini watu huwa wanapigwa ban. Hivi kweli wewe mwenye thread hii una akili kweli? Kama mtu alikupa habari hukuiandika una sababu gani kuja kumweka hadharani? Una mapungufu makubwa ya ki uandishi na inawezekana mmenyimana au alikukopa mambo fulani ndiyo maana umeamua kuja kumchafua humu siyo ustaarabu kama umemwona ana mapungufu ungenyamaza na na kuendelea na ustaraabu mwingine na sidhani kama kila habari mnayopewa mnaiandika bila kuwa na uthibitisho zaidi sana naona wewe ni mwandishi wa tbc magamba
   
 9. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nasubiri Asiamwandu AKA dada mrembo erio na huyu mwandishi feki kama sio kichaa walete hoja zenye mshiko na ushahidi dhidi ya huyu wanayemtuhumu ndipo nichangie kwa sana. usijeshangaa huyu wanayemtuhumu hata hajui kuwa katuhumiwa hapa. Mjuvyeni wana zuoni
   
 10. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana marinabahati,

  Wewe ni mfanyakazi wa PPF maana umetoa taarifa za ndani na nyingi ni za uongo. Huu uongo wako umesababisha mtu afukuzwe kazi kwa kumsingizia kuwa ndiye Rasjah, wakati kijana wa watu hata bangi hajawai kuiona.


  Umempa Erio na genge lake la uizi ushahidi kuwa uliongea naye Arusha wakati yawezekana sio kweli ila mmekaa na Erio na kutunga ya kwenu. Sasa amefukuzwa kazi, bila kosa umelipwa nini?


  Kwa kufukuzwa kwake kazi lazima Mungu atakushughurikia kwa dhambi uliyofanya. Nawe RasJah wa ukweli jitokeze ili waache kumuandama asiye kosa.


  Erio na genge lako nakushauri acheni ubabe, Mungu atakupa ishara hivi karibuni kama huachi ubabe, uizi, uzinzi na mabaya yanayofanana na hayo

   
 11. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ishara ashapewa Erio, kaua mtu Morogoro na gari lake hadi ubongo ulitawanyika kwenye boneti. RPC Morogoro kafukia kwa kuwa ni mtoto wa Rais mstaafu Mkapa ila zaidi ya Tshs 15M zimemtoka. Gari ipo Toyata Kutengenezwa.
   
 12. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MAJUNGU tupu.....!!!!!
   
 13. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ulicho panga umepata, keshafukuzwa kazi, kajaze nafasi yake

  Watu wengine, ulijiandikisa JF mahususi kwa hili tu. Post moja tu ili kujustfy matakwa ya kumfukuzisha mtu kazi na hatukuoni tena.

  Utalipwa vibaya wewe!

   
 14. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2013
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Taarifa kwa Erio.

  Rasjah halisi ameendelea kuwepo PPF hadi alipoamua mwenyewe kujiingiza kwenye zoezi la kupunguzwa. Umemlipa haki zake zote na umemuaga huku ukimkenulia meno. Sasa anajiandaa kukubomoa maana haogopi kufukuzwa tena

  Nimebaki peke yangu hapa ofisini, na sikuogopi kwa sababu huniwezi
   
Loading...