Singida mvua ya kutosha! cjui mlioko maeneo mengine

Singida mvua ya kutosha! cjui mlioko maeneo mengine

Kiwindo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
255
Reaction score
30
Mwaka mpya umekua ni wa baraka kwetu singida, mlioko maeneo mengine mtujuze.
 
nimepita Mo town leo joto ni 38C, Afadhali Khartoum au Niamey
 
Hongereni sana,maana mvua ndiyo uhai wa binadamu!
 
nimepitia maeneo ya nyakanazi,kakonko,kibondo na sasa nipo kasulu kigoma mvua inanyesha mpaka maeneo ya kitahana magari makubwa yanavutwa na greda la mkandarasi
 
hapa Yaeda naona snow inatandika kweli kweli....tumepata snow sana mwaka huu....
Poleni sana, sisi hapa kisiwani, kati kati ya ziwa Nyanza/Victoria naona kina cha maji kinazidi kuongezeka. Sijui ndio hiyo wanayoiita global warming...sijui kama tutasalimika mwaka huu!.
 
Back
Top Bottom