Jihadhari na wizi wa mafuta katika vituo vya mafuta.

Jihadhari na wizi wa mafuta katika vituo vya mafuta.

Sembeta jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
805
Reaction score
367
Nusu saa ilopita nimetoka kuweka petrol ya shiling elfu 30 pale puma kijiweni nikashangaa fuel gauge imesogea kidogo sana ukilinganisha na siku zote nikajua tayari nimeibiwa nimeenda pale bigbon mori nikaweka ya 20 kitu kikapanda kama kawa, ndo nikajua yule dada pale kijiweni kanilamba, mi sijui wanaiba vp lakini muwe makini jamani na hivi vituo mana nilisikia puma ndo wazuri ktk uuzaji kumbe nao ni ubabaishaji tu.
 
Next time ili ku approval that nenda na galoni mbili each 5ltr. jaza 30,000/- and then fill to ur car, sometimes fuel gauges zitaweza kukuletea ugomvi bureee. au reset odometer yako baada ya ku weka 30,000/ ukiwa hapo hapo kituo cha mafuta, tembea mpaka taa iwake then compare kilometer na mileage zako!

pole sana
 
Asante mkuu tena naskia sheli za mbagala ni wizi kwenda mbele we uliza watu wa bodaboda watakwambia
 
Mkuu, pole. Mimi nimepita Puma Bahama na Oryx kimara hawana mafuta nikahisi kwa kuwa bei ya petrol imeshuka.
 
Nusu saa ilopita nimetoka kuweka petrol ya shiling elfu 30 pale puma kijiweni nikashangaa fuel gauge imesogea kidogo sana ukilinganisha na siku zote nikajua tayari nimeibiwa nimeenda pale bigbon mori nikaweka ya 20 kitu kikapanda kama kawa, ndo nikajua yule dada pale kijiweni kanilamba, mi sijui wanaiba vp lakini muwe makini jamani na hivi vituo mana nilisikia puma ndo wazuri ktk uuzaji kumbe nao ni ubabaishaji tu.

Tuwashauri wenye mafuta na Ewura, ile mirija ya kujazia mafuta iwe angavu (transparent) ili tuwe tunaona pale tunapojaziwa gesi tupu! Ni ushauri tu!
 
Next time ili ku approval that nenda na galoni mbili each 5ltr. jaza 30,000/- and then fill to ur car, sometimes fuel gauges zitaweza kukuletea ugomvi bureee. au reset odometer yako baada ya ku weka 30,000/ ukiwa hapo hapo kituo cha mafuta, tembea mpaka taa iwake then compare kilometer na mileage zako!

pole sana

mkuu ni kweli bt geji yangu naiamini haina tatizo na kama ni hivyo isingesoma nilipoweka mengine...
 
mkuu ni kweli bt geji yangu naiamini haina tatizo na kama ni hivyo isingesoma nilipoweka mengine...
Kuna njia mbili za kuibiwa kwenye vituo vya mafuta: njia ya kwanza ni kupigwa juu kwa juu-hii kwa ajili ya magari madogo na boda. na ya pili kusomeshwa maandishi-hii ni kwa ajili ya magari makubwa.
Njia ya kwanza: Tuseme mko watu wawili kwenye foleni, mtu wa kwanza anataka mafuta ya elfu 10 na wapili anataka mafuta ya elfu thelathini (30,000/). Sasa, wanachofanya ni kwamba wakishamwekea mafuta yule wa kwanza ambaye anataka mafuta ya buku 10, huwa hawarudishi ule mkono kwenye lile mashine ili kufuta ile transcation au hawafuti ile transactions(kiasi alichonunua) kwa kutumia kile kitufe kwenye mashine. Hivyo haraka haraka wanamwekea mafuta yule wa pili anayetaka mafuta ya 30K. Kwa kuwa kipimo kwa huyu mteja wa pili hakikuanzia 0 bali 4.5liters, hivyo huyu wa pili anapata mafuta ya tshs 20K badala ya 30K, au liter 4.5 pungufu.
 
Puma Sinza Kijiweni ni wezi sana. Mimi nilishawahi kumkunja dada mmoja hapo. Kwa jumla usilogwe kujaza mafuta Sinza Kijiweni, ni wezi wezi wezi kupindukia!
 
Dah jaman yaan hapa kwenye kufahamu vizuri angetuelekeza vizuri kabisa,maana wengi wetu hatujui tunaibiwa vipi hkwenye haya masheli,yaan ni kero kweli kweli
 
Next time ili ku approval that nenda na galoni mbili each 5ltr. jaza 30,000/- and then fill to ur car, sometimes fuel gauges zitaweza kukuletea ugomvi bureee. au reset odometer yako baada ya ku weka 30,000/ ukiwa hapo hapo kituo cha mafuta, tembea mpaka taa iwake then compare kilometer na mileage zako!

pole sana

vituo vingine ukienda na galon hawakuuzii mfano petrol station ya pale maisha club oysterbay
 
kiboko ya shell za hivyo beba vidumu utawakomesha hawana ujanja ktk vidumu
 
Nusu saa ilopita nimetoka kuweka petrol ya shiling elfu 30 pale puma kijiweni nikashangaa fuel gauge imesogea kidogo sana ukilinganisha na siku zote nikajua tayari nimeibiwa nimeenda pale bigbon mori nikaweka ya 20 kitu kikapanda kama kawa, ndo nikajua yule dada pale kijiweni kanilamba, mi sijui wanaiba vp lakini muwe makini jamani na hivi vituo mana nilisikia puma ndo wazuri ktk uuzaji kumbe nao ni ubabaishaji tu.

Au yaweza kuwa promo kwa bigbon.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nusu saa ilopita nimetoka kuweka petrol ya shiling elfu 30 pale puma kijiweni nikashangaa fuel gauge imesogea kidogo sana ukilinganisha na siku zote nikajua tayari nimeibiwa nimeenda pale bigbon mori nikaweka ya 20 kitu kikapanda kama kawa, ndo nikajua yule dada pale kijiweni kanilamba, mi sijui wanaiba vp lakini muwe makini jamani na hivi vituo mana nilisikia puma ndo wazuri ktk uuzaji kumbe nao ni ubabaishaji tu.

Wewe ni transporter unaibiwaje.

Kuiba ni kweli wanaiba, mimi yamenitokea jana Puma pale tangi bovu, nimeomba niwekewe mafuta ya 30,000.00 kufumba na kufumbua naona inasoma 26,540.00 kabla sijatafakari ni saa ngapi imefika huko eti ameshamaliza. Nikahisi nimeibiwa kabla sijaangalia 'gauge' lakini nikawa bubu na kweli haikusogea. Nadhani hawafuti ile iliyopo halafu anaendelezea kwahio kwa mwajiri anampa 10,000 halafu inayobaki anaweka kibindoni. Ila hela yangu itamtokea puani maana nimemwambia Mungu wangu ashugulike naye. Nawapenda wa Victoria Petrol Station wanasema 'tunaanza kuweka' nadhani inasaidia

Pole ndio tunajifunza.
 
mkuu hapo kwenye blue ndio nini?

Take it easy mkuu. Ukifanya utafiti utagundua kuwa zaidi ya 90% ya waTz hutumia neno sheli kumaanisha kituo cha mafuta (petrol station). Hii inatokana na uwepo wa kampuni ya shell hapa nchini huko nyuma kabla ya kufungasha virago. Nafikiri ndo ilikuwa kampuni kubwa zaidi hapa TZ.
 
Nusu saa ilopita nimetoka kuweka petrol ya shiling elfu 30 pale puma kijiweni nikashangaa fuel gauge imesogea kidogo sana ukilinganisha na siku zote nikajua tayari nimeibiwa nimeenda pale bigbon mori nikaweka ya 20 kitu kikapanda kama kawa, ndo nikajua yule dada pale kijiweni kanilamba, mi sijui wanaiba vp lakini 。:-/muwe makini jamani na hivi vituo mana nilisikia puma ndo wazuri ktk uuzaji kumbe nao ni ubabaishaji tu.
Pale kijiweni ni soo, kuna mijimama flan hivi ukiiona tu lazima utaipa kesi kwa jins ilivyo na uso uliojawa tamaa ya pesa.

Kwanza atakuambia usogee mbele ili ukae mbali na pale kwenye screen wanapoonyesha cost, mi hua nawagomeaga maana mpira ni mrefu.

Sometimes anasimama katikati yako na screen ili kukuziba usione
 
Hiki hapa Kona ya Mabibo-Big Brother wao wana machine za kujazia daladala, Boda boda na machine za kujazia mabasi yaendayo mkoani, hapo ujue nyie wenye magari ya binafsi ndio huibiwa kiurahisi sana, daladala wao hawana nouma kabisa, wakiibiwa nao wanamwibia Bosi
 
Back
Top Bottom