Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Swiss bank Wegelin to close after US tax evasion fine Switzerland's oldest bank is to close permanently after pleading guilty in a New York court to helping Americans evade their taxes.Wegelin...
1 Reactions
1 Replies
791 Views
Moja ya vikwazo vinavyokwamisha maendeleo ya Tanzania ni pamoja na kukosekana kwa masomo mawili muhimu. 1. KILIMO 2. UCHUMI 1. Somo la KILIMO naona na ninaamini kuwa kama lingefundishwa kila...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni mara nyingi nimeona watu wanaoishi karibu na mbuga za wanyama kufukuzwa humo kwa kisingizio kuwa wanaharibu mazingira. Kitu ambacho 'wataalamu' wetu wanachokisahau ni kuwa watu hawa wamekuwa...
9 Reactions
20 Replies
6K Views
  • Closed
Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo Na Mwandishi Wetu (email the author) Posted...
6 Reactions
120 Replies
10K Views
kama ilivyo kawaida ya ccm na vibaraka wake clouds,wamejipanga kuhakikisha wanasimamia taratibu zote za mazishi ya SAJUKI na kuhakikisha uvccm wahusike mwanzo mwisho kuratibu shughuli nzima badala...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakati ni sasa, muda ndio huu pelekeni elimu ya uraia.kwa watanzania. Ya kwamba tunataka majibu stahiki toka kwa watawala wa kiimla na chama cha kiimla kisichopenda kuambiwa ukweli. ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hembu fikiri singida mjini palivo padogo lakini gari la zimamoto limefika kwenye ajali ya moto baada ya masaa 2!kamanda wa zimamoto anasema eti alienda kununua matairi ndiyo maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The government has said that all upcountry bound buses will continue using the Ubungo Bus Terminal in Dar es Salaam until the new bus terminal at Mbezi Luis is completed. But it has insisted that...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dr. King was deep.
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Hivi hawa jamaa wanamalengo gani na maisha ya watanzania? Siku ya x-mas mida ya saa tisa nilikuwa maeneo ya Quality Centre ndani ya duka moja linalouzwa vipodozi na marashi (perfums). nilipoingia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kweli sielewi kigezo gani VODACOM wanatumia kupunguza salio langu kwenye simu.Yaaani mtandao unanichosha, ninaweka Tsh 500/= jioni, asubuhi imebaki Tsh 200/=.Kwani salio wanalipeleka wapi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi mapendekezo ya baraza la madiwani kuifanya Chemba kuwa makao makuu ya wilaya badala ya Kwamtoro inaingia akilini kweli. Hapa kuna tatizo Kutoka Kinyamsindo, mpendo, Takwa ni zaidi ya km 100...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Wanajf soko kuu la mkoa wa singida linateketea kwa moto mkubwa unaowaka. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Source: Michuzi blog.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*When I was a kid, Mum liked to make food for dinner & I remember one night in particular when she had made dinner after a long, hard day at work. On that evening Mum placed a plate of bread jam...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wananachi wa vunjo wanaoishi mikoa mbali mbali hapa nchini wameungana kwa pamoja na kujenga barabara kwa kiwango cha changarawe katika kata yao iliyogharimu kiasi cha shilingi za kitanzania...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani mimi ni mteja wa idara ya maji,nimekaa takribani miezi mitatu bila kuona bill yangu ya maji na kila nilipokuwa nafatilia ofisi za idara ya maji walikuwa wakinambia kuwa system inasumbua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daraja la msisi mkaa limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi mkoani singida.Kufuatia uharibifu huo magari yote yanapita ndago kazi kwako Magufuli
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wangeiapata wa Kenya au nchi yeyote Africa wananchi wake wenye akili sawa na wanaothamini maendeleo ...Nadhani ndio ingekuwa ndio bye bye umasikini. Lakini hapa kwetu sijui
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MGAWANYO WA KEKI YA TAIFA. Wananchi wa Mtwara wame​andamana kukataa gas ku​safirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar. Wananchi wa Mtwara wamejifunza mengi kutokana na faida ya rasilimari za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mshangao mkubwa kabisa napata shida ya kutafuta matokeo ya mwanangu aliyemaliza darasa la saba. Halmashauli nyingi hazina website na zilizo na website hawajeka. Halmashauri hizi hutengewa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom