upepo mkali

upepo mkali

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,720
jamani huku kwangu kuna upepo mkali sana, unadondosha maembe hadi mabichi kwenye mti. umevuma umeme ukakatika nijuzeni hali ni shwari?? niko kibamba.
 
Wametoa taarifa kila kona ya nchi leo kuwa kutakuwa na upepo mkali na mvua. Hii hatari kama siyo haiti.........
 
mkuu unatisha mbona manake unavuma vijindizi vyangu vinaanguka kwa kukatka lol! ni mkali sana halafu una baridi.
 
Wametoa taarifa kila kona ya nchi leo kuwa kutakuwa na upepo mkali na mvua. Hii hatari kama siyo haiti.........

TMA wametangaza asubuhi TUJIHADHARI na MVUA KUBWA; UPEPO MKALI na MAWIMBI YA UREFU WA HADI 2 METERS.....

Tuombe MUNGU isiwe mbaya kama inavyotabiriwa maana MAANDALIZI YA KUKABIRI MAAFA NI SUFURI!!!
 
hahahah tichaaa kumbe we mwoga eeeh...huku kimanzichana kuko shwari najilia mananasi tu....karibu lakini
 
jamani huku kwangu kuna upepo mkali sana, unadondosha maembe hadi mabichi kwenye mti. umevuma umeme ukakatika nijuzeni hali ni shwari?? niko kibamba.

Nna mpenzi wangu Kibamba eeeh eeeh Kibamba eeeeh

Mpenzi wangu Kibamba eeeh Kibamba eeeeh

Nnapenda kulala naye eeeh kulala nayee

Nnapenda kulala naye eeeh kulala nayee

:becky::becky:
 
Mmmh jamani!
 
jamani huku kwangu kuna upepo mkali sana, unadondosha maembe hadi mabichi kwenye mti. umevuma umeme ukakatika nijuzeni hali ni shwari?? niko kibamba.
Mie huku tandahimba jua kali
 
kibamba ipi?mbona hapa luguruni hamna kitu kama hicho??
 
Sisi huku kwetu Biharamulo na hivi hatuna radio ndo kwisha habari zetu
 
Mie huku tandahimba jua kali

user-online.png
C.T.U

Yesterday 19:34

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhh!
 
Back
Top Bottom