Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makonda wa mabasi yaendayo mikoani ubungo huwa wananifurahisha kitu kimoja, unapokuwa unapita mitaa hiyo hapo ubungo halafu wakakustukia kama ni msafiri vile, basi mtu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakati Polisi wanatafakari vifo mbalimbali vya wenzao vinavyotokana na vipigo kutoka kwa watu wanaosemekana wana hasira kali,Leo majira ya saa tatu asubuhi katika mataa ya chang'ombe wameshikana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fikiri: ubora wa hiyo barabara utakuwaje? Kama mwanzo wa show tu watu wameanza uzembe. daa inachosha kwa kweli!
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya Shinyanga Mjini Update, by mbumbumbu, sababu.. wamachinga kuhamishwa eneo la biashara 'TOWN XUL'...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mrithi wa mali achinjwa mithiri ya kuku, Kilimanjaro Mkuu wa majeshi ya polisi,IGP Said Mwema. Kwa mujibu wa maelezo ya ndugu wa marehemu wanasema kijana huyo aliyekuwa akilelewa na baba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wapi nitaupata wimbo mpya wa roma?
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Wakuu ITV wanarusha hewani promotion ya kipindi cha malumbano ya hoja ya wiki hii ambacho kina kichwa kinachosema WANAOTAKA RASILIMALI ZA NCHI KUNUFAISHA MIKAO INAKOTOKA, JE, WANADHAMIRA YA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
05/01/2013 Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia! ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale...
8 Reactions
99 Replies
8K Views
WANAJF; Ndugu zangu nina ndugu yangu alipata division 4 ya point 29 baada ya kusoma QT kwa miaka 2. Matokeo ya masomo kama ifuatavyo, History C, Kiswahili D, Civics D, Geography D, English...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hawa wapandaji wa maua kando kando ya barabara wanahusika kwa kiasi kikubwa kufanya uharibifu wa mitaro ya maji. Ili kupata maji ya kumwagilia maua, wanachukua "viroba" vilivyojaa mchanga na...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Kwa mara nyingine tena, Jana wakazi wa dar es salaa wamepata fursa ya kuwa alerted kwamba wanaishi katika sehemu ya hatari kwa usalama wao kama itatokea kushambuliwa na ama mchafuko wa bahari au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI kwa heshima Tunakuomba uimulike halmashauri ya wilaya ya Nzega kwani ni miongoni mwa Halmashauri zinazoendeshwa bila utaratibu.Naamini mfupa ulomshinda Mkuchika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi! Barabara ya mchomoro hadi Tunduru wamepewa wakandarasi wahindi lakini ni wazembe.Magufuli upo kimya kwanini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je ni sahii kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kwenda kwenye msiba wa msanii Sajuki?Sajuki alikuwa anainfluence gani katika Taifa?je alikwenda pale kuwakilisha kama Rais au alikwenda...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Hv TCRA hakuna maofisa wengine wanaweza kuongea na watanzania kuhusu dijitali? kila siku mungi na kila siku yale yale tupeni watu wapya wawaelekeze watanzania kwa njia nyingine mungi hana jipya.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
The hike of Mt Kilimanjaro called Summit on the Summit Kilimanjaro (SOTSK) has started and will continue for the next week. You can follow the progress on my blog (LINK), through our P&G...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Tumesikitishwa na habari kwamba Jiji la Mwanza juzi lilikumbwa na vurugu kubwa baada ya askari wa Halmashauri ya jiji hilo kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine wawili wakati askari hao walipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom