Blog ya IKULU inayo endeshwa na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu, haina hadhi ya kuwa blog ya ikulu na ni aibu kwa ikulu na taifa kwa ujumla.
Blog hy ya first office ina background color ya kijani iliyo ivaa na maandishi yanayotumika nimeusi tii,, kiasi kwamba huwezi kusoma mpaka uya highlight!
RWEIMAMU NA KIBANGA hamuoni aibu?
jionee mwenyewe...
IKULU BLOG | Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais