Tumeshamlaza sehemu yake ya milee mwl mbise aka mkuda

Tumeshamlaza sehemu yake ya milee mwl mbise aka mkuda

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Wapendwa vijana wa mti safi Juzi tarehe 04 Jan 2013 huku Duluti Arumeru ndio alilazwa sehemu yake ya milele Mwl wetu Mbise Aka Mkuda Kwa heshima na taadhima tunamuombea huko alipo Mungu amrehemu Mwalimu wetu Mbise Aka Mkuda vijana wa Umbwe Sec tunawashukuru sana kwa kumpa support Mwalimu wetu mpendwa Mbise,ametulea katika mafundisho mazuri.Tutakukumbuka Daima Safari ya Mwisho ya Mwalimu Mbise AKA MKUDA,
 
Attachments

  • MBISE.jpg
    MBISE.jpg
    127 KB · Views: 113
Hebu tuambie nini kilimsibu mpaka akafariki kwani tunaelewa alikuwa mzima wa afya
jamani umbwe hasa UKWATA Alimarisha sana
 
Tupe taarifa vizuri mkuu nili2pia swali kwenye hoja yako ya kwanza hukujibu? Sasa jibu swali la juu kwanza.
 
Yeah_hata Mali Hai Club ya mazingira mkuu
kweli mkuu Mwl Mbise alikuwa anasumbuliwa na kansa ya tumbo mkuu ndio iliyomuondoa duniani amejaribu kupigana nayo but imemchukua uhai wake,kazikwa nyumbani kwao pembeni uonavyo ni jirani na kaburi la mamake mzazi naye alifariki dunia Mungu amjalie huko aliko kamanda alikuwa Mwalimu wa malihai Club plus Ukwata pia alikuwa mtu wa watu akikuona unaelekea siko lazima akuite akupe wosia.
 
Back
Top Bottom