Mvutano wa Gas ya Mtwara,yujadili Hoja

Mvutano wa Gas ya Mtwara,yujadili Hoja

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,389
Wadau
suala hili limeanza kama hoja za kisiasa au wanaharakati lakini limefikia hatua ya wananchi kuandamana na pia viongozi mbalimbali hususani wanasiasa kuanza malumbano kila mmoja akivutia upande anaoamini ni sahihi kwa mtazamo wake.

wengi wa hao wanaolumbana si wataalamu wa hoja inayoendelea na hatujasikia kauli kutoka kwa wataalamu husika kama wahandisi wa wizara ya nishati na madini na hata wataalamu wengine kutoka Tanesco na pia chuo kikuu. Kutoka kitivo husika

Matokeo yake ni kuwa wananchi wanagawana ushabiki wa kupendelea upande fulani kwa hulka tuna sio kuwa anaposhabikia ndio upande sahihi

tujadili nini kifanyike katika mpango mzima wa uzalishaji,usafirishaji,matumizi na uuzaji wa manufaa wa rasilimali hii kwa kuzingatia vigezo vyote vya kiuchumi,kiteknolojia na maendeleo ya Taifa letu na vizazi vijavyo
tusiwe biased na nukuu za wanasiasa bila kuingia kiundani

nini kifanyike........karibuni
 
  • Utafiti na uchambuzi kutoka kwa mataifa mengine yanayotumia rasilimali hii kwa muda mrefu
  • Manufaa ya pande zote nikimaanisha iendako na itokapo
  • Matarajio ya siku za usoni kwa kukumaximise utilization ya resource
  • Madhara na faida
  • ushindani wa kimataifa kibiashara kwa kutake advantage ya kuwa na rasilimali hii against wasiyo nayo
  • etc
 
Back
Top Bottom