swala la king,amuzi zanzibar hawahusiki?

swala la king,amuzi zanzibar hawahusiki?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Nimekua nikifuatilia issue ya ving,amuzi zanzibar haitajwi, hata kama si issue ya muungano kama nikitu kizuri kwanini na ndugu zetu wasifaidi KIZURI KULA NA NDUGUYO.
 
Mawasiliano ni ishu ya muungano , ndo maana simu, radio na tv hupatikana pande zote (ingawa nao wana wizara ya mawasiliano ila TCRA ni moja tu ! )...zenji wataingia mwisho wa February
 
husomi magazeti?
wao wana mamlaka yao na wameshaongea na TCRA
 
Back
Top Bottom