Mabomu yanalipuka Shinyanga mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu yanalipuka Shinyanga mjini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkubwa ndevu, Jan 8, 2013.

 1. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2013
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya Shinyanga Mjini


  Update, by mbumbumbu,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Petro E. Mselewa

  Petro E. Mselewa Verified User

  #2
  Jan 8, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 6,566
  Likes Received: 6,856
  Trophy Points: 280
  Kuna nini tena Mkuu?
   
 3. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,237
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  nini nini shida?maana sasa hivi ushabiki nao kazi kweli kweli.
   
 4. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2013
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sa mbna habari haina nyama ya kutosha? Au unadhani wote 2po hapo.
   
 5. High Vampire

  High Vampire JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 2,003
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  kama kuna tatizo kwa nn yasipigwe
   
 6. M

  Mr Navaya Member

  #6
  Jan 8, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kunanini? tena wakubwa natumaini Tz kwa sasa Mmmh?
   
 7. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2013
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  machinga bt machinga wamesogea kwenye ofisi ya chadema na ndio yamepigwa pembeni ya ofisi ya cdm sasa
   
 8. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Je, kwani hii ndio sababu tosha ya kupigwa mabomu au kuna tukio limetokea hapo.

  Weka habari iliyokamilika tuelewe kinachojiri huko.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2013
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,639
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Machinga wamefanya nini?
   
 10. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,237
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  machinga wana nini na kwenye ofisi za chadema wanafanya nini?au wana agenda ya siri na chadema?
   
 11. Kitaeleweka

  Kitaeleweka JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2013
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mleta uzi acha kukurupuka au na ww umepigwa bomu? Hebu eleza kwa ufasaha nn shida

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 12. m

  my web JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 1,603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo ndio tatizo we need ful data au kamuhanda yupo
   
 13. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,300
  Likes Received: 978
  Trophy Points: 280
  Umetusaidia kujua akili yako iko kiasi gani wewe mleta hii mada
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jan 8, 2013
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,190
  Likes Received: 3,912
  Trophy Points: 280
  Hebu toa taarifa iliyokamilika wewe.
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  Mabomu ya kitu gani tena kwa raia wema hao? Tanzania imegeuka Syria tena.
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2013
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  hii nchi hii, bora kupata msuba :majani7: asubuhi kabla ya kuingia kitaa, maana 'HAMNANI SI SHWARI TENA'!
   
 17. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2013
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msubirieni bado anakwepa mabomu akitulia akili itakaa sawa
   
 18. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2013
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,450
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Sababu ni nini?
  download 8.jpg
   
 19. Dengue

  Dengue JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 1,767
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 280
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hii snap ni hatare na mleta mada ndio sawa sawa kabisa...
   
Loading...