Foleni ya kutisha Mbezi beach

Foleni ya kutisha Mbezi beach

Lusaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
270
Reaction score
113
Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa shwari.
 
pamekua na msongamano wa magari eneo la africana kutokana namaji ya mvua yanayotoka juu salasala kupita juu ya barabara miundo mbinu yamifereji kutokidhi hali halisi ya maji yatokayo juu
 
Sadly, Mbezi Beach ain't what it used to be.
 
Nimetembea toka Mwenge mpaka Africana...Ndo naingia home sasa hivi....
 
Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa shwari.

Kuna jamaa kanambia yupo pale Nguruko anapiga mbuzi mpaka foleni iishe..
 
Umetmbea mwenge to africana??? Ahsantee kwa kuninywesha kahawa mbichi lol

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
KONOIKE wazeni upya la kufanya hapo africana msitupige fix hapo bado sana ujenzi wenu.Waziri wa mabarabara tembele hapo uone
 
Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa shwari.

Mkuu hiyo saa 9 alfajiri c anajipanga tena kwenye foleni ya kurudi oficini mjini..?

Kazi mnayo wakazi wa huko..
 
Umetmbea mwenge to africana??? Ahsantee kwa kuninywesha kahawa mbichi lol

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Ni kwamba uamini au....watu wanakaribia fika Tegeta...Dala dala hazina abiria..Abiria wote wameshuka..
 
Mkuu hiyo saa 9 alfajiri c anajipanga tena kwenye foleni ya kurudi oficini mjini..?

Kazi mnayo wakazi wa huko..

Ndiyo hivyo sasa tutafanyaje wakati Wahindi wanataka National Housing za Upanga, Kariakoo na Posta wakae wenyewe tu?
 
Kuna jamaa kanambia yupo pale Nguruko anapiga mbuzi mpaka foleni iishe..

Mpe hongera aisee machale yalimcheza akapaki mapema, maana mimi ni kama nipo msituni siwezi kugeuza wala siwezi kwenda mbele... Hali ni mbaya!
 
C mkanunue ndege zinauzwa laki 5 tu. Acheni ubahili

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mpe hongera aisee machale yalimcheza akapaki mapema, maana mimi ni kama nipo msituni siwezi kugeuza wala siwezi kwenda mbele... Hali ni mbaya!

Pole sana...Mimi nilipiga ngoko kuanzi mwenge mpaka Africana...Ndo kwanza namalliza puga menu nilale...
 
Back
Top Bottom