Rais anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?

Sou
 
Kwenda kuzika au kutokwenda kuzika huo ni uamuzi wa mtu yoyote, kwani Raisi akienda ndio maiti inafufuka au? Wewe umeuhudhuria misiba yote hapa Tz!
 
Vipi mkuu hujui nini? Ndege wa aina moja huruka pamoja.

Anahudhuri ya wasanii kwa vile yeye ni msanii wa kisiasa.
 
Ishu wala sio kuhudhuria msiba...
ishu ni 'kuuchuna' wakati watu wanachangishana pesa huyo marehemu akatibiwe India
kwa miezi kadhaa....kumbe Rais yupo na anamtambua muhusika
halafu sikuya kufa Rais anajitokeza bila 'haya' kwenye msiba...
wakati yeye na wenzie 'mafua tu' wako Europe kuchunguzwa
 
It's hard to be president. Everything you do or not do somebody will have an opinion about it.

But I understand it all comes with the territory.
 
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?

Sou

- Kwani Sheria ya Jamhuri inasema nini kuhusu Rais na kuamua misiba ya kwenda maana sometimes hebu tuwe Great Thinkers kidogo tu tuongee na Facts, eti Sheria ya Jamhuri inasema nini on the subject?

le mutuz
 
Mwanangu nngu007 unapaswa kuelewa somo. Hao wote uliowataja hawakuwa wasanii bali wanataalum. Kwa sera za chukua chako mapema, wataalamu hawatakiwi bali wasanii.Hivyo rais kama msanii mkuu angetenda dhambi kubwa kama asingehudhuria misiba ya wasanii wenzake. Ukitaka kujua ninachomaanisha hebu jiulize ahadi alizotoa wakati wa kugombea zimeishia wapi? Huo ndiyo usanii wenyewe. Nadhani handlers wa rais wanajua kuwa wasanii wa Bongo ni vihiyo ambao wanaweza kutumiwa na kudanganywa na yeyote. Hivyo, kuwatumia kupata umaarufu ndilo lengo kuu la bwana mkubwa. Hukuona ukoo mzima kwenye msiba wa juzi ukiweka saini kwenye buku la maombolezo? Sanaa at work especially using massaburis. Umenipata mwanangu?
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?

Sou
 
- Kwani Sheria ya Jamhuri inasema nini kuhusu Rais na kuamua misiba ya kwenda maana sometimes hebu tuwe Great Thinkers kidogo tu tuongee na Facts, eti Sheria ya Jamhuri inasema nini on the subject?

le mutuz

this is rubbish .... kuna sheria katika katiba ya nchi inayozungumzia ku-attend misiba?

labda kwenye katiba ya maCCM
 
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Kumbe hata ya madaktari 'wenzake' anakacha!
 
- Kwani Sheria ya Jamhuri inasema nini kuhusu Rais na kuamua misiba ya kwenda maana sometimes hebu tuwe Great Thinkers kidogo tu tuongee na Facts, eti Sheria ya Jamhuri inasema nini on the subject?

le mutuz

HAKUNA SHERIA ya JAMHURI... LINI wewe UMEISHA IONA???
 
Umuhimu na thamani ya mtamzania ipo katika umaarufu wake nasio ubora Wala mchango wa taaluma yake,thamani ya professionalism tz haipo!mwenyekiti anaitaji kubadilisha washauri.mwanae anatabasam msibani unaweza ukahisi nikikao cha Harusi .
 
Ishu wala sio kuhudhuria msiba...
ishu ni 'kuuchuna' wakati watu wanachangishana pesa huyo marehemu akatibiwe India
kwa miezi kadhaa....kumbe Rais yupo na anamtambua muhusika
halafu sikuya kufa Rais anajitokeza bila 'haya' kwenye msiba...
wakati yeye na wenzie 'mafua tu' wako Europe kuchunguzwa

Lakini kunakipindi wiki mbili kama sio tatu zimepita alimsaidia msanii mwenzie Ray C yule "kiuno bila mfupa"
 
- Kwani Sheria ya Jamhuri inasema nini kuhusu Rais na kuamua misiba ya kwenda maana sometimes hebu tuwe Great Thinkers kidogo tu tuongee na Facts, eti Sheria ya Jamhuri inasema nini on the subject?

le mutuz

Isue ya kuhudhuria misiba nayo tuanze kwenda kwenye vitabu vya sheria ndugu yangu ni upuuzi kufanya unachouliza..isue ya Rais kuhudhuria misiba itazamwe katika maeneo matatu.. KWANZA ipo misiba/maziko ya kitaifa..inahusisha kama pametokea majanga mf mafuriko au matetemeko au ajali nk, pia kama yupo kiongozi mwandamizi wa serikali,(huu atafata taratibu za kiserikali ambazo zipo ikiwa ni pamoja na kutangaza maombolezo ya kitaifa) PILI ipo misiba inayomuhusu Rais binafsi kama ya ndugu zake (atakua na maamuzi yake binafsi hasukumwi) na TATU ipo misiba ya opinion leaders na watu mashuhuri..(Ana maamuzi binafsi hasukumwi).. Kama raisi anapenda kuhudhuria maziko ya wasanii ni choice yake, mtu kuwa raisi haimuondolei ubinadamu.
 
05/01/2013

  1. Msiba wa Mwangosi wala salamu za rambirambi hatukusikia!
  2. ​Amefariki Dkt. Sayi na Prof. Carneiro wote hawa ndio waliokuwa madakatari bingwa pekee wa upasuaji wa watoto pale Muhimbili, sikusikia Rais kahudhuria.
  3. Mwaka 2009 alifariki Prof. Aziz, daktari bingwa wa upasuaji pale Muhimbili na aliyetibu watu wengi sana kupona mikononi mwake, aliugua na Serikali ilimwambia hawawezi kumpeleka kwa matibabu, akakopa pesa Agha Khan Hospital akaenda kutibiwa Ujerumani, alipogundulika na saratani ambayo alikaa nayo na kuja kufariki miaka kumi baadae akiwahudumia Watanzania Muhimbili, kufundisha Madakari wa upasuaji, alifariki na kuzikwa hatukuona wala salamu toka kwa Rais!
  4. 4.Tuna wiki tatu sasa amefariki Dkt. Bashiri aliyekuwa daktari mzuri sanakwa vipimo vya ultrasound, amehudumia Watanzania wengi, sijasikia Rais anahudhuria.

Hivi...

  • Huwa anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?
  • Hao washauri wake wanatoka katika kundi lipi la jamii?

Sou

Hakuna uchaguzi wowote, ni unafiki tu. Aende kwa wasomi wamzomee!!! sanasana watampotezea tu. Anatambua hilo hivyo penye wasomi hasogei!!.
 
Kwenda kuzika au kutokwenda kuzika huo ni uamuzi wa mtu yoyote, kwani Raisi akienda ndio maiti inafufuka au? Wewe umeuhudhuria misiba yote hapa Tz!

bora angekuwa anafufu,hilo halifanyi na mtoa mada hakuwa na maana kuwa rais audhurie misiba yote ila asiwe anahudhuria misiba ya kada moja huku kaka zingine zikikosa rambirambi za serikali mbali ya huduma zao zilizotukuka kwa taifa hili
 
President ana judgement mbovu, asifanye jambo ambalo litamfanya aonekane kama ana upendeleo katika masuala ya compasion. otherwise ajitahidi isifahamike kama akiudhuria!Itamsaidia!
 
Back
Top Bottom