Hv TCRA hakuna maofisa wengine wanaweza kuongea na watanzania kuhusu dijitali? kila siku mungi na kila siku yale yale tupeni watu wapya wawaelekeze watanzania kwa njia nyingine mungi hana jipya.
Unataka nani?maana wanagawana radio na TV wapo ma engineer 2 Kisaka na mwingine tena!au unataka wakurugenzi ndio waje waelemishe wananchi?mbona kazi za ofisi ya Mungi?au kuna kitu binafsi na Mungi?kwanza zoezi linaelekea ukingoni...end Jan wengi watakuwa na hizo decoder..baada hapo itabakia kazi kwa wasambazaji kupambana na fine tuning!
Mungi ndo mouthpiece wao, i mean msemaji wa tcra, tatizo huwa na mfano mmoja tu: huwa anasema mpangaji huwa hasubiri mpaka siku ya mwisho wa mkataba ndo aanze kutafuta nyumba nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.