Fikiri: ubora wa hiyo barabara utakuwaje?

Fikiri: ubora wa hiyo barabara utakuwaje?

Simple

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
249
Reaction score
121
429069_4658702658735_2018733839_n.jpg

Fikiri: ubora wa hiyo barabara utakuwaje? Kama mwanzo wa show tu watu wameanza uzembe. daa inachosha kwa kweli!
 
naona hapo chini wameandika massage, watu wakae mkae wa kula kusubiri "the african massage" wakiingia kwenye hiyo barabara. Ukifika mwisho wa safari mgongo hauna kazi..
 
Itakuwa poa tuu kwanza mwisho wa dunia unakaribia sasa kwa nini watumia akili nyingi na gharama kubwa
 
naona hapo chini wameandika massage, watu wakae mkae wa kula kusubiri "the african massage" wakiingia kwenye hiyo barabara. Ukifika mwisho wa safari mgongo hauna kazi..


Hapo kwenye RED hata mimi na wewe sijakuelewa.

Huenda wewe ndiye uliyeandika hilo bango la TANROAD.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hapo kwenye RED hata mimi na wewe sijakuelewa.

Huenda wewe ndiye uliyeandika hilo bango la TANROAD.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

samahani wasomaji, namaanisha "mkao" wa kula, si unajua, tena nyani haoni......
 
The contractor takes the blame, he never even realised that the client is TANROADS and not TANTROADS?
 
View attachment 78580

Fikiri: ubora wa hiyo barabara utakuwaje? Kama mwanzo wa show tu watu wameanza uzembe. daa inachosha kwa kweli!
Navyofikiri, shule ya msingi ilichakachuliwa jamaa akafaulu, sekondari ufaulu wa kishindo, chuo kikuu wa"SUASO" wanasema "Simbi" ilitumika kupata A za kumwaga - matokeo yake jamaa akapata shahada "fake", akaandaa bango "fake" na barabara itakayojengwa lazima iwe "fake". Serikali hii mambo inakuwaje???? Hii ni aibu mbaya sana
NB:- SUASO = Sokoine University of Agriculture Students Organization; Simbi = kijikaratasi ambacho mtu huingia nacho kwenye mtihani kikiwa na maandishi/majibu ambayo mtahiniwa huona uwezekano mkubwa wa maswali yake kuulizwa ila ukikamatwa na simbi una"DISCO" i.e being discontinued from studies.
 
Back
Top Bottom