Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hongera sana, tumeona jinsi ulivyomshambulia mmiliki mwenzio wa gazeti kuwa anadaiwa mishahara na wafanyakazi wake, Mbona wewe haujatulipa tangu Mwaka jana, tunakuandikia habari, makala, na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna professor mmoja wa UDSM alipigwa risasi nyumbani kwake miezi michache iliyopita,Kikwete hakuonekana wala kutia mguu pale,tunajiuliza je ni kwa nini huyu Mtu haendi misiba ya wanasiasa na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa mh raisi kwa kuendelea kuitikia wito wa kuzika wasanii wetu mbali mabali waliokufa na wanaoendelea kufa ni waakti mzuri wangu kupata nafasi hii kukuomba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
a wonder 2c c most of Tanzanians' educated people especially youth still claiming about employment problems while we have a lot of opportunities to make use of to employ ourselves...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
kulima kwa jembe la mkono sio ajira bali ni teso ndio maana mtoto wa mkulima akiisha pata elimu nzuri harudii tena kazi za jembe la mkono . mamilion ya vijana wamekwama vijijini wakiwa hawana...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Clouds wana kipindi sasa hivi mada kuu ni mindset transformation, wanagadafua mengi na kuhitimisha kwa kusema watanzania hawana maarifa japo wana elimu ya maarifa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
A young engineer was leaving the office at 5:45 pm when he found the CEO standing in front of a shredder with a piece of paper in his hand. “Listen” said the CEO, “this is a very sensitive and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Mwakyembe haikuwashauri Tazara kuhusu utumizi wa treni pamoja na reli yao. Upande wa Zambia wanadai kuwa kutopewa taarifa kuhusu mradi ni kosa. Tazara inamilikiwa na nchi mbili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mtabiri yahya hussen jr amesema hakuna utabiri wa zaidi ya mwaka mmoja na hauusishwi na njinsia .cheo au jina la mtu.hata hivyo amedai kama kuna mtu atatabiri hivyo ni muongo. na utabiri sio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kujua hivi ndugu Kova amefikia wapi na fuko la pesa???
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajf,naombeni nianze kuuliza swali hili,hivi serikali yetu haina njia za kidiplomasia kutatua ama kupata suluhu ya migogoro inayokuwa inajitokeza kati ya wananchi na serikali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hatimaye mkuu wa wilaya ya karagwe mh.dany rwegasira ameweka wazi kuwa askari wawili waliouwawa huko karagwe hawakuwa kikazi na wala hakuwa wame2mwa na wakuu wao!ila walikuwa ktk biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Imepita miaka mingi sasa bila mafanikio yoyote ya kuzuia wizi unaofanywa na wafanyakazi wa swisport kuiba mizigo ya abiria, inasikitisha sana kuona watanzania waliowengi wamerudi nyuma kimaendeleo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Tenants paid to live in empty houses in rural Tanzania Have you ever heard of a place in the world where tenants are paid to live in houses that would have otherwise stayed without residents for...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jioni hii giza likiwa limeingia ,basi la mtei kutoka dar limehusika katika ajali mbaya maeneo ya kiongozi kwa wale wenyeji wa mkoa wa manyara na wale wanaopita mara kwa mara watakua wanajua eneo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nitangulie kusema ni umbea tuuuuuuuuuu Ila napenda kujua if baadhi ya company yanaruhusu magari zao kuendeshwa na watu wasiohusika moja kwa moja na ma -company hayo. Kuna mdada m1 mfanyakazi wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
tangu maghara ya mabom mbagara na g/mbota,pia mabom ya machoz yaliyotumika tangu maandamano ya songea.geita,chato,arusha,udsm.udom,moro.mwanza.zanbar.iringa,na muda huu shy twn.hv tuna hazina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The kilogram may need to go on a diet. The international standard, a cylinder-shaped hunk of metal that defines the fundamental unit of mass, has gained tens of micrograms in weight from surface...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Askari wawili wameuwa usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kasheshe kata Rugu wilayani Karagwe. Inasemekana maaskari hao wakiwa na gari aina ya Noha namba hazitambulika kutokana na gari hilo...
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Tabitha Siwale akiwa waziri wa Ardhi na Nyumba katika awamu ya kwanza tarehe kama ya leo mwaka 1972 alirudisha jengo la Msajili wa Nyumba lililopo makutano ya Azikiwe/ Makunganya street Dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom