mwandish wa habar isa nguma aliye uwawa na watu wasiojulikana,mwil wake umekutwa ukiwa hana sehemu zake za siri hivyo kuzua hofu juu ya walio muua kama kwel walihitaji roho au nyet zake kuna...
Wadau naulizia kuhusu sheria inayohusu fao la kujitoa kwa mwanachama wa NSSF,je bado hilo fao lipo ?na je mwanachama bado unatakiwa kusubiri hadi miezi sita ndio upate hilo fao?je ni kipengere...
Huyu jamaa kani impress na maelezo yake. Nimependa alivyosema haongelei siasa bali uchumi na maendeleo. Na kweli katika kipindi kajitahidi mno kutkuonyesha any political bias, in fact sidhani kama...
Nadhani mpaka kufikia leo tarehe 08/01 wengi mmeshatumia ving'amuzi na
tayari mnajua King'amuzi kipi bora,sasa naomba ushuri wenu ninunue King'amuzi
kipi"
Taarifa zilizojitokeza ni kuwa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya kahawa anaendelea kufukuza wafanyakazi bila ya kufuata sheria. Kuna mfanyakazi mwingine jana amemfukuza kazi kwa kutokuwa kazini huku...
Unakuta mtu ni member wa JF muda mrefu tena wengine ni Experts kabisa halafu,like given=0,hii ni aibu na ubinafsi mkubwa.Mimi naamini ukishindwa kuonyesha mazuri katika jambo dogo hata kubwa...
Hongera walevi kuzaliana na kuzalishana
KWA mujibu wa taarifa iliyosomwa na profesa, daktari, shehe, gwiji, alhaji, kanali, father Njaa Kaya Kiwewe ni kwamba walevi kwenye kaya hii wamezaliana...
Before the day is gone let me shout a GREAT THANKS to the Lord and a batch of honor to JF Founders, Management and all Members as well.
Today, it is a year since English Learner officially...
Kwa taarifa nilizozipata kwa njia ya simu gari la Bunda bus lililokua linatokea Musoma kwenda Mwanza limepata ajali nje kidogo ya Magu kuelekea Mwanza naomba mwenye taarifa hizi atujuze vizuri...
Vijana wasomi acheni kulalamika, kwan tafiti imefanyika kati ya vijana 10 ni watatu tu ndio waliotoa maoni yao juu ya katiba mpya wanayoitaka
Jamani - mabadiliko ni mimi,ni wewe, ni sisi - tuamke...
TAREHE 07-01-2013.
Ndugu waandishi wa Habari kwanza ningependa kuwashukuru sana kwa kuitikia wito wenu kuja hapa leo kuyasikiliza yale ambayo nimekusudia kuyaongea.
Pili ningependa...
Wananchi wakivuka kwa taabu sehemu ambako daraja la bonde la Mbutu wilayani Igunga linajengwa na kuondoa kabisa tatizo hilo mwaka huu ambapo ujenzi huo unaofanywa na muungano wa makandarasi wa...
wana jf kwa kweli ubungo stand kumekuwa na tatizo sana yani amuwezi amini mpaka saizi magari yaliyotakiwa kuondoka saa kumi na mbili na nusu mpaka saizi akuna bus hata moja ambalo limeondoka kuna...
Mwandishi wa Radio Kwizera wilayani Kakonko mkoani Kigoma Issa Ngumba ambaye alitoweka katika mazingira ya kutatanisha mwili wake umepatikana katika pori la Mlima Kajuluheta .
Mwandishi huyo...
kUMBUKENI YAFUATAYO;
1. Benki kuu, BOT ilitoa tamko mabenki yoote nchini yapokee taarifa kutoka kwa wateja wao. Kuna fomu unapewa benki kwako na unajaza maelezo fulani fulani pia unaenda kwa...
KILIO CHA WANYONGE TANGA BEACH RESORT NA PPF
Sisi wafanyakazi wa hoteli ya kitalii iitwayo TANGA BEACH RESORT iliyopo mkoani TANGA. .Hoteli hii inasemakana ni yaMkubwa Fulani serikalini...
Wakuu Habari za Asubuhi ya leo?!
Kwenye uchambuzi wa magazeti leo nimesikia moja ya Magawazeti (JAMBO LEO) likiwa na kichwa cha Habari SHIBUDA: MIMI NI JENERALI,Tafadhalini mlioko Tz nisaidieni...
Habari gani wanajukwaa wenzangu,
Naombeni msaada wenu katika hili,ikiwa mtu anataka kuwa wakala wa m-pesa na tigo pesa,ni process gani atazifuata?na ni nini anatakiwa kuwa nayo?
naomba kuuliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.