Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumetokea mtafaruku leo mchana huko maeneo ya Kigamboni DSM katika Chuo Cha Mwalimu Nyerere, baada ya Vijana wa Afande SELE kutuliza ghasia kwa njia ya kurusha mabomu kuwatawanya wanafunzi wa IFM...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilipokuwa nasikiliza vichwa vya habari vya magazet asubuhi leo ni kakutana na habari Wabunge 7 wa CHADEMA wahamia CCM, baada ya kufuatilia gazeti nimelisoma na kugundua kuwa kilichoandikwa ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Njia zote zimefunga hapa fire sio ya kwenda wa kutoka muhimbili, kariakoo/posta, magomeni na n.k Msaada wa kuachanisha hili, kwani moto ukitokea sasa hivi fire hapa haziwekupita na ambulance...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Who are the richest people in Tanzania? Or who are the wealthiest people in the republic of Tanzania? Are some of the many questions asked by the people of Tanzania who want to know the kind of...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Hivi watawala wetu wanafahamu kama kuna wa2 wanishi maisha haya?.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau, mi nataka nifahamu tu, zile pesa ambazo serikali ilizifreeze kutoka wale matapeli wa deci, waliochukua hela za walala hoi wengi na kuzizungusha kwa malengo ya kuwadhulumu zitakapokuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Chama cha siasa cha ADC wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga kimemshambulia Katibu Mkuu wa CUF, Maali Seif ambaye ni Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kwa madai kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu uko kwenye daladala unaandika sms au unachart na mtu, kwenye kiti ulichokaa kuna abiri mwenzako na nyuma ya kiti chako kuna abiria wengine. Wote utaona macho wameyatoa shingo wamezirefusha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wana jf,nafasari kikazi mkoan kigoma natakiwa kufika alhamis sasa tatizo usafir coz bus nimeambiwa ni risk utekaji,umbali na njia co nzur hasa kipind cha mvua,ndege zina pata matatizo pale kg,tren...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa ninamkubali bibi Fatma Almas Nyangasa kwa jinsi anavyojitahidi katika kazi yake ya utangazaji. Kwa ujumla anafaa sana. Lakini kwa muda fulani sasa nimegundua anapokuwa kazini Alfajiri (12.00...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yana matangazo mengi ya biashara kuliko haya ya kwetu? FIKRA ZANGU: Makampuni mengi ya Kenya yanalipa kodi hivyo hayaogopi kujitangaza. Makampuni yetu yanakwepa kodi. Naombeni mawazo yenu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mamia ya Wakazi wa Kimara Mbezi Mwisho kwa simanzi kubwa wameuaga mwili wa Mtoto Elisha Evans Temu. Mtoto huyo mwenye miaka miwili aliangukiwa na lango la chuma au geti nyumbani kwao juzi (10...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Pale harbour view kunatisha kama sio kunuka kwa utapeli na makundi ya wauza unga kuna watu pale ukifika njenya viunga vya harbour view utawakuta wako so smart wataanza kukusemesha ukisimama...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesoma katika gazeti la jambo leo la nyuma kidogo KUFURU TUME YA KATIBA o Kila mjumbe analipwa million Tsh 294 o Waziri Chikawe asema hizo ni "Vijisenti" wanazolipwa o hofu yatwala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii tatizo la mabinti, madada au wa mama wa Tanzania kuwa tengemezi sana kwa kila kitu hata kama anafanya kazi tofauti na wanawake nchi za afrika mashariki na barani afrika kwa ujumla wake. Katika...
0 Reactions
87 Replies
12K Views
Ndugu wa JF hivi ni kweli kabisa hizi rushwa za hapa bandarini nazo mpaka wahusika waletewe majina au tuelewe wasimamiaji wa hizi sehemu nyete nanyi wezi?haiwezekani mtu anakudai hongo bila hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau ni siku nyingi sijasikia kuhusu mpambanaji Kubenea. Mwenye kujua sababu za ukimya huu, pls atujuze, yupo nchini au yuko wapi?
2 Reactions
37 Replies
4K Views
The Nazi nurses behind the 'Super Race Children': Inside the Aryan breeding wards where boys and girls were given UV treatment if their hair turned brownLike other wartime nurses, those in Nazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom