Sisi wananchi wa arusha tunachajiwa parking fees hata siku za sikukuu.xmas wamechaji tarehe 1.1.2013 wamechaji. leo sikukuu ya mapinduzi 12.1.2013 wanachaji.tunawaomba madiwani wa chadema na...
jamani, nyumbani nina king'amuzi lakini kutokana na huu mgao wa waziwazi wa umeme unaoendelea imebidi niende bar kuangalia mpira kati ya MAN U NA LIVERPOOL. yaani mechi haijaisha nimesha kata laga...
Wamama wajawazito katika hospital ya mkoa wa Dodoma wanalalamika kuhusu kung'atwa na kunguni,chawa na mbu.Tupo 100 na zaid ila kunavitanda 15 tu wanasema wajawazito hao kuwa wamekuwa nalala chini...
Wanajamvi,
Nawashauri wamiliki wa ITV katika kipindi chao cha kipima joto kwa nini wasiwe na ukurasa wao hapa JF ili wadau waweze kutoa maoni yao?
Nawaona wapo kwenye mitandao mingine ya kijamii...
Nashukuru wote mlionipokea hapo Moshi December,kwa kweli nilijidai sana na wageni wangu walifurahi sana baada ya kula mtori na gali nyama choma vitu ambavyo havipo kabisa mitaa hii...
Godauni ya mazao inauzwa ina uwezo wa kuhifadhi tani 500 za mazao na ina mashine kubwa mbili ndani za kukoboa mpunga zenye uwezo wa kukoboa tani 50 kwa siku. Liko barabarani pembeni ya stendi...
mwanamama makini ktk tasnia ya utangazaji hapa nchini .alipo bbc idhaa ya kiswahili na inasadikiwa kuwa yeye na tido muhando waliombwa na mkulu kuja kuborosha tbc iliyo kuwa imedoda kipindi kile...
Gazeti letu maarufu la Tanzania daima sijaliona kwa muda wa siku mbili yaani jana na leo. Jana sikulipata mitaa niliyotembelea,mbezi,ubungo,posta na mwenge. Leo pia sijalipata mitaani...
Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali...
Siku chache zilizopita nilienda kuwaona jamaa zangu ambao siku mwezi mmoja ulipita walifiwa na ndugu yao.Nilipewa ushauri na mtu wangu wa karibu kuwa kwa mapokeo ya kwao ni muhimu kwenda na...
Niko safarini kwenda Arusha kwa basi la Ibra Line. Maeneo ya Korogwe kumetokea ajali ambapo mabasi mawili ya Dar-Arusha yamekwaruzana.
Ni basi la Osaka lililokuwa likielekea Arusha na basi la...
Mabasi yanayoitwa luxury hapa Tanzania yanashangaza. Hayana hata huduma za tofauti! Viti ni vile vile vya kubana, ukivilaza unambinya mtu wa nyuma yako!
Angalau kenya ndani ya mabasi kama hayo...
Ndugu zangu wanajamvi,kwanza kabisa poleni na majukumu!ktk ziara zangu za kikazi,katika mkoa huu wa Kilimanjaro,nimepata wakati mgumu sana kitekeleza majukumu yangu ya kikazi kwasababu ya tatizo...
ROME (AP) One can't stand being in a mall: It feels too much like the ship, with no visible exits. Another dreams she's walking on a tilt a memory of having crawled up walls as the cruise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.