Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa jina laka na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa leo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Napenda kuwapongeza Airtel kwa jitihada zenu za kueneza mawasiliano kwa wananchi wa mijini na vijini.Jana nilibahatika kupewa kadi za bure kabisa na kijana mfanyakzi wenu hapa Dodoma, akieleza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wazazi wenye watoto wanaosoma kwenye hii shule wanataka ufafanuzi wa kupanda kwa ada wakati serekali ipo kwenye mkakati wa kushusha ada kwenye shule zote za serekali na binafsi. naibu waziri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mgogoro wa mpaka kati ya malawi na Tz ndani ya ziwa Nyasa umefikia wapi ? Kuna watu wameniambia kuwa Rais Rucia Banda wa malawi alikuja hapa Dar na hapo ndipo mgogoro ulipoishia. Samahani wakuu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muda huu kuna bodaboda zenye bendera za ccm zinamiminika airport mwanza,embu tujulishane kuna nini leo? Source macho yangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa nchi Dr. Teresia Huvisa ameshuhudia kuwa hajawahi kushindwa kwenye mitihani yake shuleni kwa vile alikuwa anakwenda kuokota mchanga kwenye kaburi la Mtumishi wa Mungu Benadeta Mbawala...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
WanaJF,ni sababu zipi zinazo changia watanzania tunapohitajika kujitambulisha au kuongea mbele ya kadamnasi kutumia salamu za dini zote,mfano,mbwana asifiwe,aslam aleykhumu,tumsifu yesu kristo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Towards Mid 1990s, the Tanzanian government suspended Compulsory National Service which recruited mainly the young Tanzanians from high schools and colleges. In 1964, after the independence of...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
TUESDAY, JANUARY 15, 2013 MAFUNDI WAKIENDELEA KUWEKA MABANGO YA MATANGAZO KATIKA MTAA WA WEST AMBAPO NDIPO OFISI MPYA ZA PRECISIONAIR JIJINI MBEYA MTAA WA WEST UHINDINDI MBEYA...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
WAKAZI wawili wa Kijiji cha Karungu, Kata ya Ivuna, Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya wamefariki dunia baada ya kufukiwa wakiwa hai katika kaburi moja na marehemu wanaodaiwa kumuua, tukio...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habarini za asubuhi wana jf. Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha Mwaburugu mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu na kukuta...
2 Reactions
315 Replies
45K Views
Kweli nchi hii vituko havitakaa viishe! Mkuu wa Polisi wa Arusha amekiri wazi kwamba gari lililokamatwa na Mirungi ni gari ambalo lipo chini ya Uangalizi wa Mahakama kama Kidhibiti cha kesi...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zilizotufikia leo jioni ni kwamba yule Mhariri mtendaji Charles Mulinda (DIRA) Fisadi alitoroka na kitita cha shilingi milioni 30 za Alex Msama (Bw. PEPSI). Inasemekana huko alikoelekea...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nchi ya China ilipiga stop mitandao yote ya kijamii ili watu maofisini wafanye kazi kwa ajilin ya kujenga taifa. Na mimi sasa naanza kuona mantiki hiyo kwani ofisini kwetu, dakika 15 mtu anafanya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
tutasikia mengi ikiwemo kukashfiana.ungependa kumuuliza nini huyu kiumbe?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LONDON: No need to tip this waiter! A sci-fi restaurant in China has employed robots to work as waiters, cooks, entertainers and receptionists. The restaurant has 18 types of robots, each gliding...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
GARI LA JESHI LA SABABISHA AJALI MBAYA DAR KARIBU NA IDARA YA HABARI MAELEZO, MWANAJESHI MMOJA AJERUHIWA VIBAYA, KISA KUJAZA VIFAA KUPITA KIASI GARI LA JESHI LA SABABISHA AJALI MBAYA DAR KARIBU...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
lets say wameachiwa hiyo gas then whats next. kufaidika ni pamoja na ajira ... Lakini utaajiriwa vipi bila kisomo????? Au ndio vibarua kubeba mizigo. Haya tuone mwisho wake
0 Reactions
20 Replies
2K Views
katika gazeti la dira ya mtanzania,jana,tarehe 11/08/2011 kuna makala inayoitwa mchokonozi,inayoandikwa na mwandishi anayeitwa Charles Mullinda,makala inaongelea juu ya mbinu mbalimbali ambazo...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Leo nimemtumia mtu mpesa baada ya kuhitaji nimtumie. Kabla sijatuma nilikuwa na salio la shilingi 71015, nikamtumia shilingi 70000 na kubakiwa na shilingi 815. Hii ina maana wamenikata shilingi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom