Ushauri kuhusu Sattelite receiver na dish

Ushauri kuhusu Sattelite receiver na dish

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla?
 
Nunua receiver ya "free to air" hutalipa kitu na unapata channels nyingi sana plus local stations.
Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla?
 
Ila madish yanatofautiana ubora na ukubwa hivyo pata ushauri toka kwa fundi.
 
Back
Top Bottom