Harbour View & Samora nzima ni kiota cha matapeli na wezi!

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Pale harbour view kunatisha kama sio kunuka kwa utapeli na makundi ya wauza unga kuna watu pale ukifika njenya viunga vya harbour view utawakuta wako so smart wataanza kukusemesha ukisimama kuwasikiliza tu umeumia kuna watu wanalizwa kila leo mil 5, 2, 3

Hawa wanapatikana kuanzia harbour view penyewe unakuja nao mpaka pale garnen, wengine wanazunguka IPS building wakitegemea kuwatapeli watu wanaotoka burrea de change....

Polisi wako wapi?
Usalama je?

Mko nalala?
 
Wanawatapelije?

Kiuchawi?

Au kiaje mkuu?
 
Ni mradi na mapato wanagawana!!! We ukishaibiwa nenda polisi ukaseme ina maana unawapa taarifa sahihi ya mapato!!!
 
Polisi wanasubili kugawana pesa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Polisi wanahangaika na madada poa badala ya wezi na matapeli!
 
Kweli maeneo mabaya sana, mimi nje ya Habour View nimetapeliwa na Mijamaa miwili umri kama 45 hivi, Mmoja Mwarusha na mwingine Mjaluo anaechechemea, wanajifanya wamepata tenda za kusuply vitu vya Government kama Ujenzi na Vifaa vya shule, wataomba uchangie na watakupa guarentee zote zote na hata kukupeleka kwa maafsa fulani serikalini nao hukubali, utachangia upate sehemu kubwa kwenye mgao wa faidi kubwa, ndio umekwisha. na kila aina nyinge ya wizi. mimi nimepoteza kama 3m hivi
 
unauliza polisi wako wapi? Polisi wa nchi gani????

polisi wapo busy kukamata vijana wa bodaboda wasiovaa kofia ngumu. Huku wakitumia magari ya serikali kuzunguka mji mzima kuwakihangaika kuwatafuta hao vijana, ( jeshi la wanyang'anyi)
 
Kweli maeneo mabaya sana, mimi nje ya Habour View nimetapeliwa na Mijamaa miwili umri kama 45 hivi, Mmoja Mwarusha na mwingine Mjaluo anaechechemea, wanajifanya wamepata tenda za kusuply vitu vya Government kama Ujenzi na Vifaa vya shule, wataomba uchangie na watakupa guarentee zote zote na hata kukupeleka kwa maafsa fulani serikalini nao hukubali, utachangia upate sehemu kubwa kwenye mgao wa faidi kubwa, ndio umekwisha. na kila aina nyinge ya wizi. mimi nimepoteza kama 3m hivi
Pole sana ndugu yangu ila wajinga ndo waliwao.!
 
Unaibiwaje 3.m? Au ndio yale mambo ya kupata hela za haraka?
 
Kweli maeneo mabaya sana, mimi nje ya Habour View nimetapeliwa na Mijamaa miwili umri kama 45 hivi, Mmoja Mwarusha na mwingine Mjaluo anaechechemea, wanajifanya wamepata tenda za kusuply vitu vya Government kama Ujenzi na Vifaa vya shule, wataomba uchangie na watakupa guarentee zote zote na hata kukupeleka kwa maafsa fulani serikalini nao hukubali, utachangia upate sehemu kubwa kwenye mgao wa faidi kubwa, ndio umekwisha. na kila aina nyinge ya wizi. mimi nimepoteza kama 3m hivi

Aseeee.......pole sana.
Mimi mtu asiyenijua akinifuata na upuuzii wa kufanya deal namtukana hapohapo, tena matusi ya nguoni. Ndo maana sikosi papper spray na bisu/sime kwenyegari.

Upuuzi kabisa, hunifahamu sikujui unataka kunipa deal, si ujipe mwenyewe ufaidi basi.
 
Sie tupo nao kila siku, polisi ni sehemu ya matapeli hao!

Hahaaha ndiomaana ikaitwa BONGO, tumia akili uishi.

Unataka maisha yamkato, haya ngoja wakufundishe!

Wapo IPS wanaitwa Chenji Dola, kila mtu wa eneo hilo anawajua!
 
Sijatapeliwa ila kuna watu wawili watatu nawajua wameshalizwa hapo....
 
Kweli maeneo mabaya sana, mimi nje ya Habour View nimetapeliwa na Mijamaa miwili umri kama 45 hivi, Mmoja Mwarusha na mwingine Mjaluo anaechechemea, wanajifanya wamepata tenda za kusuply vitu vya Government kama Ujenzi na Vifaa vya shule, wataomba uchangie na watakupa guarentee zote zote na hata kukupeleka kwa maafsa fulani serikalini nao hukubali, utachangia upate sehemu kubwa kwenye mgao wa faidi kubwa, ndio umekwisha. na kila aina nyinge ya wizi. mimi nimepoteza kama 3m hivi

Du! Pole sana, mimi kidogo niingie mkenge...
 
Back
Top Bottom