Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rafiki yangu amelala kitandani kwa muda mrefu kutokana na kupooza miguu. Amepata vidonda (bed sores) na kushauriwa kukalia mto uliojazwa maji au hewa. Naomba ajuaye mahali anapoweza kupata mto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mnavyojionea hapo chini niko kwenye foleni kuanzia saa 12 za asubuhi kwaajili ya kulipa karo ya shule, tunaomba NMB Bank Tafuteni Njia Mbadala ya Kuweka Hela Kipindi Hiki Cha Malipo ya Karo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi sasa mabomu yanalindima kati ya polisi na wananchi waliyokusanyika kupinga gesi kwenda Dar. Hali ni ya wasi wasi kweli.
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Samahani wanaJV salamu Jamani naomba kama mtu ana email ya Prof. Sospeter Muhongo anisadie. Nimejaribu kusearch lakini sijafanikiwa Natanguliza shukurani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nilienda kununua bidhaa flani hapa Nakumat Supermarket Moshi. Nilipokua naulizia taarifa fulani nilihudumiwa na mtu mwenye lafudhi ya Kenya, baada ya hapo ilipowekwa kwenye boksi nayo huyu...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Closed
Haya semeni sasa kwamba vyombo vya habari vya kiislam vifungiwe vibaki vya madhehebu ya kikiristo pekee. wanaharakati wetu wanaweza wakatetea uwozo huu kwa kuwa umefanywa na wakiristo. sijui...
2 Reactions
131 Replies
22K Views
Habari wanajamvi, huu ni mtazamo wangu jamani, sababu za msingi ni hizi http://hamisikh.wapka.mobi/site_12 Nawewe unasemaje kuhusu hili?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuregenzi wa gazeti Tanzania daima pamoja na Mhariri mkuu mnatukatisha tamaa wasomaji wenu,tunaomba majibu, kwa nini gazeti lenu halipatikani mbeya siku ya leo? Nimezunguka Mbeya nzima kutafuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu simu yangu ya blackberry 8900 haina radio ila nimepata taarifa kuwa naweza ku donload nimejaribu nimeshindwa mwenye utaalamu anijuze please
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mhmhhmmh hii Benki ya NMB ina kero na utendaji wake wa kaiz ni mbovu yn madirisha yapo ma5 na madirisha yanao fanya kazi ni mawili tuu na hiyo foleni yake ni mzunguko wa mistari mitano na hapo hao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI STEVE GANNON ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP Baada ya ziara kutembelea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo,pia Steve Gannon alipata wasaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hawa ni wakuu wa wilaya au wasimamizi wa CCM kwenye wilaya walizokabidhiwa? Leo mkuu wa wilaya ya Muleba akiwa amevaa vazi la CCM eti anajifanya kutoa maagizo kwa wananchi kama kiongozi wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hapo jana jeshi la polisi la wilaya Kinondoni liliwezeza kuwatimua wanawake ambao waliokuwa wakijiuza karibia na hospitali ya Mwananyamala,eneo hilo ambalo ni maarufu kwa vitendo vya ngono hapo...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Kumetokea ajali mbaya ktk eneo la STOP OVER barabara ya Mwanza Musoma iliyokutanisha basi la Mwanza coach lililokuwa likielekea Mwanza na Best line lilikua likielekea Musoma . Mabasi haya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habarini wana JF. Naomba kwa wanaofahamu freemason vizuri wanijuze. Katika fikra zangu ninafahamu ni mtandao wa siri . Mawazo yangu yalibadilika ghafla baada ya kupita katika mji mdogo wa Lamadi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mradi wa treni ni dhaifu (fragile) Unatumia vichwa viwili vya engine. Kimoja kikiharibika usafiri unasimama. Mradi si endelevu. Hakuna vichwa za ziada (standby) Tabia ya viongozi wa juu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi hizo barabara za magari ya kwenda kasi huko dar jamani zimekamilika? Nilikuwa huko wakati wa miezi miwili iliyopita kulikuwa na vurugu sana ya ujenzi, Je mabasi yaendayo kasi mmiliki atakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau sisi wapiganagi wa NHIF tunachoshwa na baadhi ya wakurugenzi wanaoingilia michakato ya manunuzi kwa kuwa pigia kifua watu wao haswa katika manunuzi ya ICT michakato inakua mirefu kwa masilai...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MGOGORO wa vizimba katika soko la wafanyabiashara wadogo la Machinga Complex lililoko jijini Dar es Salaam umeingia hatua nyingine baada ya Meneja wa soko hilo, Nyamsukura Masondore kuvamiwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu Wadau JF. Wiki ijayo natarajia kutua jijini Mbeya (Songwe International Airport) kwa mara ya kwanza. Naomba mwenye uzoefu na jiji la Mbeya anijulishe hoteli nzuri (SALAMA), viwanja vya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom