wana jf,nafasari kikazi mkoan kigoma natakiwa kufika alhamis sasa tatizo usafir coz bus nimeambiwa ni risk utekaji,umbali na njia co nzur hasa kipind cha mvua,ndege zina pata matatizo pale kg,tren ndio matatizo matupu, sasa nifanyeje wana jf
Mzee umepotea ila nasikia ulipinduliwa
Nani wa kunipindua, nakuja nakuja kama nani vile nakuja sijui kama RVP P ndani ya MAN U nakuja sjui kama nani kirusi wataliaa
paa na ungo, au kataa kwenda. maana inaonekana upo kimajungu zaidi. aina zote za usafiri umezitoa kasoro. wanaosafiri kila siku inaonekana wana roho za chuma cha reli, wewe una roho ya nyama!!!!!
Mkuu swali lako halijibiki.. una-assume tunajua unatokea wapi, ili upate jibu la uhakika ungesema unatokea wapi
'nafasari' wewe ni mmasai?
ww ni mhariri nn angalia ujumbe.nimekulia simanjiro mkuu.toa ushauri au piga kimya
piga mbizi hadi uibukie ziwa tanganyika
kumbe we kwel king kong.mbiz afu uibukie ziwan .unamatope kichwan kwan lazime uchangie mm nataka ushaur