Deci......fedha ziko wapi??

Deci......fedha ziko wapi??

spartacus

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
428
Reaction score
144
Wadau, mi nataka nifahamu tu, zile pesa ambazo serikali ilizifreeze kutoka wale matapeli wa deci, waliochukua hela za walala hoi wengi na kuzizungusha kwa malengo ya kuwadhulumu zitakapokuwa nyingi ziko wapi, na walio changia watapata vipi pesa hizo?? kama kuna mdau mwenye taarifa nazo, please, toa msaada wako katika hili.....
 
Na mimi nimekuwa nikijiuliza hilo swali ukichukulia serikali yetu ilivyofilisika ufisadi na ubadhilifu wa pesa za umma nina wasiwasi kama hizo pesa ziko salama pia kuna wabunge wakati wa kugombea waliahidi wangefatilia hizo pesa leo ni mwaka wa tatu tangu uchaguzi uishe sijasikia chochote
 
Kutaka kujua ziliko ni sawa na kubeba maji kwenye chujio la nazi. Zitakuwa zilishafisidiwa tayari. Umesahau kipindi kile kilikuwa cha kampeni na pesa zenyewe hazina auditing?
 
zishapigwa long tym sana, unaulizia issue ya za january 2009 leo? fedha ya uchaguzi wa ccm unadhani walitoa wapi? ngojea chadema ishike nchi waliozichukua lazima wazirudishe ni fedha nyingi sana karibia billioni 11
 
Nafikiri washaziingiza kwenye mitaji yao.....chezeya serikali sikivu weye............
 
zipatikane aisee maana na uchungu sana na 5M zanguu..walaaniwe majambazi wote
 
duh, so ccm imeibia wananchi directly?? aisee, ila kwa sheria za sasa, hata ikishika CHADEMA, si watawaambia wazirudishe..si unajua viongozi hulindana!!, juzi nilimsema mdada mmoja wa TAKUKURU eti anang'ang'ania kesi ya jamaa mmoja alidanga halmashauri, akapiga per diem za watu wa watatu kwa tsh 65,000/= kila mmoja, yani uchunguzi wa hiyo kesi umeshaghalimu zaidi ya mil 1, afu bado wanae yani wanaapa kuwa lazima wamfukuzishe kazi....nikasema TZ kweli watu tunao.....asa wale walioiba bilions and trilions je?? wanaambiwa warejeshe, kwa nini na hyu wasimkate kwenye mshahara wake yakaisha?
 
Wadau, mi nataka nifahamu tu, zile pesa ambazo serikali ilizifreeze kutoka wale matapeli wa deci, waliochukua hela za walala hoi wengi na kuzizungusha kwa malengo ya kuwadhulumu zitakapokuwa nyingi ziko wapi, na walio changia watapata vipi pesa hizo?? kama kuna mdau mwenye taarifa nazo, please, toa msaada wako katika hili.....

Na wewe ulipanda mzee? Umefikiria nini mpaka ukaleta uzi huu, manake ni long time au ndiyo ukata umebisha hodi?
 
Zile mbegu zilioza kutokana na mvua nyingi iliyonyesha kipindi kile!
 
Wengine tukisema Tz is semi-anarchy state, wengine hawatuelewi. There is basically very partial rule of law, we are maybe 30-40% of Somalia or Afghanistan/
 
Mi nilipanda mbegu na kwakweli wabaya ni serikali wala sio deci,mana deci walisema kama vp waludishe pesa za waliopanda mana zipo serikali wamekwapua zaidi ya bilion11,na wanawazungusha haijulikani kesi ilipo kmyakmya,kisa waliona kampunizao za pesa zenye riba kubwa zinakufa.SITAIPIGIA KURA CCM MILELE.
 
aisee
ctaki
ata
kukumbuka
waliniharibìa
maìsha
yangu
kwakunifanya
nìshindwe
kumalize
chuo,
coz
ada
yangu
yote
ya
miaka
miwili
niliiweka
kule,walaaniwe
kabisa.
 
aisee
ctaki
ata
kukumbuka
waliniharibìa
maìsha
yangu
kwakunifanya
nìshindwe
kumalize
chuo,
coz
ada
yangu
yote
ya
miaka
miwili
niliiweka
kule,walaaniwe
kabisa.

Duh pole kiongoz naona ulichezea makida elimu..dah hiyo utakuja simulia had wanao
 
Back
Top Bottom